kali

  1. Mbinu kali za kibaharia za kumuumiza adui au mbaya wako

    Usikubali kushindwa kirahisi, Maisha ni vita nianze namna hii. Katika harakati zangu za kupigana vita mbalimbali hasa katika jamii nyingi za kuonewa na kudhulumiwa, ilinifanya nifikirie sana namna ya kulipa visasi kwa namna mbalimbali mfano nimeshaitumia mbinu hii mtambuka. 1. Kutoka kimapenzi...
  2. Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  3. Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

    Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo. Both kwa ladies and gentlemen. Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho . Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya. Hata kama kiatu ni cha bei chee...
  4. Wadau Pemba washauri Sheria Kali kwa WABAKAJI. "Anayebaka Ahasiwe"

    PEMBA, ZANZIBAR JAMII imeshauriwa kuacha muhali na badala yake waripoti kwa wakati matukio ya udhalilishaji yanapotokea kwa lengo la kutoa fursa kwa vyombo vya sheria kutekeleza wajibu wake na kuchukua hatua za haraka dhidi ya watuhumiwa wa vitendo hivyo. Hayo yametolewa na wadau wa kupinga...
  5. INAUZWA Pata suti kali kwa bei ofa

    Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu. Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya free delivery. Wateja wetu karibuni dukani kwetu. Tucheki kupitia namba hii; call/WhatsApp...
  6. Jinsi maombi yanavyoshusha Imani yako kwa Mungu

    Tumezoea kudhani kuwa maombi yanakuza Imani. Ni kweli tumesisitizwa kuomba, lakini asilimia karibu 99 ya Sala zako hazipaswi kuwa Maombi Bali Shukrani. Kuombaomba na mbaya Zaidi kuombewa kunapumbaza na kushusha Imani. NINI KITAONGEZA IMANI YAKO? SHUKRANI. Unatakiwa kushukuru Muda mwingi Kwa...
  7. Zingekuwa ni Enzi zangu au za akina Kizota, Magoso na Pawasa huyu Mayele angeogopa kabisa Kufunga kwa Rafu zetu Kali

    Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka. Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida...
  8. 'Wasimamizi wa ndoa ni 'Pisi Kali' kuliko Mabibi Harusi'

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya kazi hiyo katika ndoa. Sambamba na hilo amesema wakati mwingine wanakuwa ‘pisi kali’ kuliko bibi...
  9. Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
  10. Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  11. Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  12. Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

    Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza..... Kwa sasa hivi...
  13. Ukijiona tu una hasira kali na yanayoendelea Tanzania ni kwako sikiliza nyimbo hizi za lucky dube ufarijike

    1. Children in the Street 2. Don't Cry 3. Feel Alright 4. House of Exile 5. Love Me the way I am 6. Mama Africa 7. Peace Perfect Peace 8. Prison 9. Puppet Master 10. Reap what you Sow 11. Reggae everywhere 12. Soul Taker 13. The way it is 14. I have got you Baby Ukizisikiliza hizi Nyimbo zangu...
  14. Natafuta movie Kali za kijasusi

    Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022... Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa...
  15. DC Gondwe atoa onyo kali kwa Madereva walevi, Wananchi Wazo waomba Barabara itanuliwe

    Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Godwin Gondwe ametoa onyo kali kwa madereva wanaondesha magari huku wakiwa wamelewa. DC Gondwe ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wananchi wanaoishi eneo la Wazo Hill na Madale alipotembelea eneo hilo kutokana na ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi na...
  16. Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

    Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo. Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
  17. Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

    Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa 'Airtime' Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara tena akimtaja kabisa kuwa Msemaji wa Yanga SC aliye...
  18. M

    Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

    Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
  19. Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  20. Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

    Hii ngoma ni kali kila sekta wakuu. Huyu dogo ni next big thing.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…