kali

  1. KweliKwanza

    Natafuta Tv, budget yangu 1.5m, au 2m kwa Tv kali sana

    Iwe na hivi vitu -4K -120Hz(fps) -55'/65' -HDMI 2.1 Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Kitenge na Shaffii huangalia mambo kwa jicho la Njaa Kali

    Original post and source Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu. My Take Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria. Dauda na Kitenge nyie ni wazee sasa. Lindeni heshima kidogo mliyokuwa nao. Hizi nafasi kubwa wanazipata...
  3. GENTAMYCINE

    Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
  4. Unique Flower

    Humu ni kali sana

    Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama!
  5. Mr Pixel3a

    Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

    Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
  6. Sildenafil Citrate

    Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  7. GENTAMYCINE

    Kwa dua kali na ya aina yake iliyofanywa Al Hilal asubuhi hii, wakifungwa nawapa hawara yangu mhangaike naye

    Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal. Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
  8. brave one

    Mwijaku atoa onyo kwa atakayepita na mke wake

    Kupitia Instagram Mwijaku atoa pole kwa Masanja na kutoa onyo vijana atakayepita na mke wake.
  9. JanguKamaJangu

    Serikali yashauriwa kuchukua hatua kali kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi

    Mtandao wa Wadau wanaopambana na unywaji wa pombe kupita kiasi nchini Tanzania {TAAnet} umeishauri serikali kuchukuwa hatua kali ili kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi kwa kuridhia uwepo wa sera ya afya yenye kuweka katazo la matumizi mabaya ya pombe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa muongozo...
  10. BARD AI

    Movie 10 kali za kuziangalia kuanzia Oktoba 2022

    Kwenye list yako ya filamu za kuziangalia hakikisha umeweka hizi hapa; 1. All That Breathes 2. Emily 3. Wendell & Wild 4. Black Adam 5. The Banshees of Inisherin 6. My Policeman 7. Decision to Leave 8. Triangle of Sadness 9. The Lost King 10. Ticket to Paradise
  11. Lycaon pictus

    Primal, season moja kali sana

    Hii season kali sana, actions mwanzo mwisho.
  12. BARD AI

    Bima ya Afya kwa wote inakuja na sheria kali

    Serikali jana iliwasilisha Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHI) 2022 Bungeni ukitoa masharti ya lazima kwa watu kujisajili katika mipango ya bima ili kupata huduma kadhaa za kijamii. Muswada huo pia unatambulisha Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (Tira) kama mdhibiti mkuu aliyepewa jukumu...
  13. M

    Ninavyotafuna pisi kali kwa kufananishwa na mtu mmoja maarufu hapa nchini

    Wanawaje wote akili zao zinafanana. Unakumbuka ule mwaka Leicister city anachukua ubingwa wa EPL? Timu ilikuwa chini ya kocja Raniel Sasa kuna mzee mmoja pale England kaganana na Raniel copycopy Mzee choka mbaya mtoto wa mjino alivhoganya ni kuchonga siti zake mbili na kukatiza mitaa ya london...
  14. kavulata

    Tanzania tujipange kupokea wazungu watakaokimbia baridi kali kwao

    Hali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto...
  15. Dr Matola PhD

    Ridhwani Kikwete akemea vikali wauza dawa za kulevya na ataka sheria kali itungwe

    Dj walete na song letu la Iyena iyena. Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya. Ni kipi kimekushangaza? Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
  16. Idugunde

    Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  17. Jidu La Mabambasi

    Hii ni kali, polisi wenye daladala wanaiibia serikali

    Hii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi. Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu hilo maana limeota mizizi. Hao maafisa wahusika ni lazima wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi.
  18. FourTwoNet

    Ni mikoa gani pisi kali za kichotara zinapatikana

    Wakuu, wasalaaam, Ni mikoa gani pisi kali haswa za kichotara chotara ivi zinazojielewa zinapatikana? Naskia Tanga kuna za kiarabu kali kali. Mnaonaje wadau? Hivi ni kweli? Na kama kuna anayejua mikoa mingine, itakuwa poa sana kutiririka humu wakuu. Kwa hayo machache,nawaomba na hili...
  19. sky soldier

    Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

    Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti. Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana. Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali...
  20. kataip

    Wanaume msihadaike na hadaa za nje, wengi mnatekeleza malengo ya wengine bila kujua na kutelekeza familia

    Wanaume wenye ndoa kuanzia miaka 9. Hawa wengi unakuta wanaanza kugonga miaka 40 na zaidi. Baada ya kupambana sana na kazi au biashara au kupata cheo hapa ndipo kipimo kamili cha uanaume kinakuwepo. wanawake rika mbali mbali hasa mabinti wenye tamaa watakupenda unajua kupendwa wewe...
Back
Top Bottom