Wadau salaam..
Baada ya Mh Tundu A. Lisu kuonyesha nia ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa tumeona mambo mengi na matamko mbalimbali, matamko mengi ambayo hayakutegemewa ni namna Lisu anvyopigwa vita na kukatishwa tamaa, Siyo ndani ya CHADEMA Tu Bali hata kwa Vyama vingine kama CCM...