kali

  1. Moaz

    Coder anayeweza kutengeneza Forum Kali.

    Nahitaji Coder anayeweza kucoding au kumodify CMS vizuri nataka tufanye kazi ya kutengeneza Forum. Ukiwa interested nicheck
  2. Abdul Said Naumanga

    TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  3. Webabu

    Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

    Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo. Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
  4. Suley2019

    SI KWELI Mjusi kafiri akidondokea kwenye chakula ukaila ni sumu kali inayoua mtu

    Wakuu salaam, Kuna mdudu anaitwa Mjusi kafiri, kumekuwa na hoja mbalimbali kwamba mdudu huyo ni hatari na ana sumu kali ikiwa atadondokea kwenye chakula na ukakila. Je kuna ukweli kuhusu hoja hii?
  5. Yoda

    Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  6. Hharyson

    We do design and constrution

    One of our project at kibada kigamboni We do building design We do constrution at affordable price We do consultation Call /whatsap 0624004650 Office Sinza
  7. Mad Max

    Twende China tukutane na Avatr 12 EV: Hatchback kali na Luxury kuzidi Executive cars za Ulaya!

    Wakuu, ni EV nyingine kutoka China. Kuna hii kampuni inaitwa Avatr Technologies, hadi sasa wana model mbili tu za magari, ya kwanza ni Avatr 11 na ya pili ndio hii imeingia sokoni sasa inaitwa Avatr 12. Inasomeka Avatr one two! Hii ni executive hatchback, iliyokua designed na bwana mkubwa...
  8. Juice world

    Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

    Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake halafu Kaa home sikiliza
  9. kyagata

    Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  10. Tembosa

    Wanaoongoza Kivuko cha MV Kazi (Magogoni -Kigamboni) leo 22/08/2024. Wachukuliwe hatua kali

    TEMESA na Mamlaka zote zinazohusika na Vivuko, Wanatakiwa kuwachukulia hatua kali sana, Waliokuwa wanaongoza MV Kazi leo 22-08-2024 Saa 12:50jioni. Kutoka Upande wa Dar (Magogoni) Kuelekea Kigamboni. Wamehatarisha sana maisha ya watu. Kivuko kimetoka Wakati kuna meli iliyokuwa inatoka...
  11. L

    Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea...
  12. P

    MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

    Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi. Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki...
  13. LIKUD

    Haka kadada kamarekani keusi nimekapenda. Videmu vya hivi vinakuwaga na nyota kali sana ukiwa nako

    Tazama video hii ukaone kadada kenyewe. Aisee nimekaelewa kinoma noma. Kwa sababu ndio aina ya mademu ninao tokaga nao. Unaposikia Likud kaenda sijui Lindi, Mtwara, wherever kutafuta mademu huwaga natafuta mademu kama hawa. Napenda hizo gestures zake. Siku nikipata nafasi nitakuja ku explain...
  14. Mwanamke wa mithali 31

    Milioni 4 inatosha kufungua biashara ya grocery au duka la pombe kali?

    Hey, wapendwa 4M inatosha kufungua grocery? Kama inatosha je vitu gani muhimu? Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi? Nafikiria kwenda field ili nipate uzoefu Yaani niombe kazi hizo sehemu zinazouza pombe, sijuh ni grocery au ni bar. Ili niweze kufahamu...
  15. Lycaon pictus

    Hakuna series kali kama The Wire

    Niliwahi sema kuwa The Sopranos ndiyo series kali ya muda wote, nilikuwa sijaangalia The Wire. Hakuna series kali kama hii. Ni kama unaangalia maisha halisi ya watu. Hii series hadi vyuoni inafundishwa.
  16. Pang Fung Mi

    Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  17. Ritz

    Wazungu Uingereza wanapora vitu madukani. Hakuna tofauti na Afrika, njaa kali

    Wanakummbi. Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa...
  18. Pang Fung Mi

    Ushuhuda; Kutokana na wimbi kubwa la Pisi Kali nimejikuta naukata mzizi wa Ubahiri bila Shuruti

    Shalom, Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana. Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya ubahili. Pasipo shuruti nimejikuta napata upako wa kutoa pesa maana si kwa utitiri wa pisi kali za...
  19. GENTAMYCINE

    Kwa kumuacha huku Onana hapa sasa tumeenda sawa na Kunifurahisha, ila naomba Kibu Denis apewe Adhabu Kali au aombe Radhi leo kwa Mkapa

    Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri. Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
  20. Miss Natafuta

    Stand Kali za laptop zimewasili

    Chagua hapo njoo inbox mapema tuu Wale WA dar nakuletea Hadi nyumbani kwako Karibuni sana
Back
Top Bottom