Trump alikuwa ni mwiba mchungu sana kwa Putin
Video hiyo inamuonyesha Trump akiwakaripia ujerumani kwenye mkutano wa NATO (umoja wa majeshi ya Marekani na Ulaya) waliposaini mkataba wa mabilioni ya dola kila mwaka kunuanua gesi inayotoka Urusi wakati ni adui wa Nato, Kilichomuudhi ni kwamba...
Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana:
Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu?
Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris...
Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris.
Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya.
Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti mitandaoni kumuondolea imani Kamala kwa wamarekani ? Au vijembe tu vya kisiasa ?
Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
Wamarekani walishuhudia kasi aliyokuwa nayo Trump ya kushinda Urais, wakati mgombea wa Democrat alipokuwa Joseph Robinette Biden Jr.
Kuingia kwa Kamala Harris kumebadili kabisa mwelekeo; hasa ukizingatia kuwa Trump alikuwa anakazia udhaifu binafsi wa Biden kutokana na umri, na akajisahau...
Following President JoeBiden dropping out of the presidential race and Kamala Harris replacing him, we have seen opinion polls numbers pointing in favor of the democrats.
My take is that this woman will emerge winner in November. I say this basing on the new momentum she's injected in her party...
Tim Wallz ameteuliwa kuwa mgombea mwenza na Kamala Harris.
Safari hii naona Progressives wameangaliwa😁
---
Vice President Kamala Harris has chosen Minnesota Gov. Tim Walz to serve as her running mate in the 2024 presidential race—as Harris tries to gain ground on former President Donald Trump...
Trump na Kamala Harris wanatofautiana kuhusu Siku ya Mdahalo wa Urais. Timu ya Kamala inataka Septemba 10 katika Studio za ABC, huku Timu ya Trump ikitaka ufanyike Septemba 4 katika Studio za Fox
Tangu Biden ajiengue, Trump amekuwa hana msimamo kuhusu iwapo atashiriki mdahalo huo ambapo awali...
Like Hillary Clinton, Like Kamala Harris: Opinion Polls are Unrealistic
In American politics, few tools are as widely discussed and scrutinized as opinion polls. These surveys, intended to gauge public sentiment and predict election outcomes, often become central narratives in political...
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa kuibeba Democrat.
Tangu mwanzoni Kamala Harris hakupewa nafasi yoyote ya kuwa mbadala wa Biden. Biden...
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.
Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa...
Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats!
Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton?
Pia, soma=>...
Awataka wanaosuasua kukaza buti
Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.