“Tunaendelea na hicho kinachoitwa michezo ambacho kingetakiwa kiitwe kwa jina lake halisi, yaani kamari. Hakuna mtu aliyeweza kutajirika kwa kamari. Tuache kudanganywa na wajanja wachache wanaotajirika kupitia mgongo wetu. Acha kucheza kamari na iepuke kuliko ukoma na UKIMWI.” – Mwanahabari...
Kamari
Kamari
Kamari
Kamari nakuita mara 3, kamari iwe ya kubashiri mpira, kucheza madubwi ya mchina, au online casino maadamu tu inaitwa kamari hiyo ni sumu kali.
Uswahili vijana wanazeeka hawaoi kisa kamari. Kamari inakupa tamaa ya mabilioni na magari ya kifahari halafu unaishia kuvisikia tu...
Ukweli lazima usemwe bila woga bila kamari nchi hii hakuna maisha, iwe kwa vijana au wazee wake kwa waume! Kamari imekuwa tegemeo la uchumi na mapato ya serikali.
Bila kamari vyombo vyote vya habari ikiwemo TBC haviwezi kulipa mishahara ya watumishi wao. Bila kamari serikali haiwezi kulipa...
Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.
Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero.
Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
Kamati ya Mpito inayosimamia Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza imekuwa ikiwatapeli mamilioni ya fedha wafanyabiashara wa hapa kwa kuwalipisha pesa na kuwapa mikataba ya kupanga vyumba ambavyo tayari vinao wapangaji. Ajabu unakuta chumba kimoja kimelipishwa watu zaidi ya watano na wote wamepewa...
Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi. Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari.
Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi wanafanya tu ilimradi.
Serikali ya Ovyo nayo inajisifu, Et Kamari imetengeneza Ajira asilimia.
Taifa...
Kuna maoni tofauti kuhusu asili ya bima na uhusiano wake na kamari. Wakati mifumo ya kwanza ya bima ilianza kama njia ya kulinda dhidi ya hatari na upotezaji wa mali badala ya kamari, kuna muktadha ambapo mifumo ya bima ya awali ililingana na mchezo wa kamari.
Katika mifumo ya awali ya bima...
Najua kuna wacheza kamari tayari wameshacheza, wengine hawana taarifa na wengine wamesahau. Naomba nitumie uzi huu kuwakumbusha wale wote walio tayari kucheza USA Green Card Lottery, kwamba, dirisha limeshafunguliwa na wacheza kamari kutoka nchi mbalumbali wanacheza kwa bidii kujaribu bahati...
Mchanganuo.
- Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine.
- Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama madarasa, majengo ya Vituo vya Afya )
- Misaada kutoka kwa wazungu ndio hugharamia huduma za (Afya)
-...
Habari zenu wakuu!!?
Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti
Wao wanaendelea na kamari...
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Inasikitisha kuona kwamba nguvukazi ya taifa inapotea bure kwa kujikita kwenye uchezaji wa kamari. Kwa utafiti mdogo nilioufanya, kamari imekita mizizi kila mahali. Mara nyingi watu wanapobishana kuhusu jambo fulani utawasikia wakiwekeana dau...
Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari.
Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka
Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari zinazoingizwa...
Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
2008 hiyo Mshua alikuwa anapiga kazi zake za wiki lakini ikifika Ijumaa mida ya saa mbili flani hivi anapiga vyombo vyake kistaarabu kabisa hana kelele wala fujo na ni ndani sio bar.
Nilipewa takribani elf 10 kuchukua lvinywaji alivyoniagiza, enzi hizo ni pesa kubwa hii.
Nilipita sehemu...
∆ Aghalabu, mcheza kamari akishinda, huanza kucheza zaidi kwa pupa huku akipuuzia mbinu za kuepuka hasara.
∆ Mcheza kamari akishinda mara nyingi hujisifia kwa mbinu bora aliyotumia katika uchambuzi. Lakini akishindwa huweka lawama kwa kuzingatia madhaifu ya nje kama mchezaji kukosa penalty nk...
Kiukweli Swala la Michezo ya Kubet na Kamari liangaliwe kwa upya, Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa
Kamari imevuruga kabisa mzunguko wa Fedha Kwenye Sekta za Uzalishaji
Vijana wanatafuta Fedha kea jasho halafu zote zinapelekwa kwa " Mhindi"
Hili tatizo ni kubwa kuliko Uteja wa madawa ya...
Nilitegemea mikutano mitatu ya kwanza ya CHADEMA hali ya Uchumi ndio ingekuwa Hoja kuu. Cha ajabu hoja kuu imekuwa Maridhiano ya CCM na CHADEMA ambayo hayawahusu Watanzania wote.
Unapopata fursa ya kuongea na Wananchi zungumzia mambo ya Taifa siyo ya chama chako. Nampongeza Komredi Chongolo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.