Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali.
Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala.
Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022
Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania.
Serikali ije na mpango madhubuti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.