Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Updates ...
Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni.
Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo Mh Zitto Kabwe.
Mwaliko ule umetafsiriwa kama...
Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi.
Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo maovu.
Rais Samia alishakiri hadharani kuwa kuna nguvu ya ziada inayotumika na inaleta madhara kwa...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na Jeshi hilo.
Inadaiwa Maofisa wa Polisi hawaaminiki na wanaonekana kutenda majukumu yao bila kufuata...
Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi.
Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
Habari za asubuhi kwa mtakaosoma.
Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai.
Vyama vyote vikubwa vyenye itikadi kama ya CCM hufanya maamuzi juu ya wanachama wake wa kawaida , let alone mwanachama...
Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi.
Sasa kiki ya...
Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma.
#ChamaImara
#KaziIendelee
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais...
Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum.
Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama...
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.
Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
Mazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo Juni 22, 2021 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center.
TAARIFA KWA UMMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 22, 201 ameongoza...
📍Dodoma
KAMATI Kuu ya Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), itakutana kesho Jumanne, tarehe 22 Juni 2021, jijini Dodoma Chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.