kamati maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu kamati maalum NEC Zanzibar, ahoji kama tatizo tume, mbona 2015 walipata majimbo?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi, INEC na ZEC, na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo vimekuwa vikiongeza idadi ya viti vya Udiwani, Uwakilishi, Ubunge na kupata kura nyingi za urais. CCM kimesema Tume hizo ziko huru na zinatenda haki...
  2. JamiiForums Tanzania TLS Kuunda kamati Maalum Sakata la Ngorongoro

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema Baraza la Uongozi la chama hicho limeunda kamati maalum kufuatilia suala la Ngorongoro ili kujua ukweli wake Mwabukusi amezungumza hayo alipokutana na wanahabari leo, Jumanne Agosti 20.2024 ambapo amesema pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aendesha Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA 📍 Kisiwandui Zanzibar 🗓️24 Juni 2024 Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) akiwa na Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter kunambi (MNEC) wakiwa katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Kikao...
  4. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar yathibitisha majina ya Wakuu wa Idara za Kamati Maalum

    Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kikao hicho kimethibitisha majina ya wakuu wa idara za kamati za Maalum majina ya wakuu wa idara ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…