Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi, INEC na ZEC, na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo vimekuwa vikiongeza idadi ya viti vya Udiwani, Uwakilishi, Ubunge na kupata kura nyingi za urais.
CCM kimesema Tume hizo ziko huru na zinatenda haki, zikiongozwa na binadamu, na kwamba Tume yoyote itakayoundwa kwa mfumo wowote itaendelea kuongozwa na binadamu, si malaika.
Matamshi hayo yametolewa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Zanzibar, Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Khamis Mbeto Khamis, aliyesema madai ya upinzani kuhusu Tume za Uchaguzi hayana mantiki, mashiko, wala nguvu ya hoja.