Ulionywa Punguza Nyodo na Ujeuri hukusikia. Na ulichokosea ni Kuongozana na Injinia Hersi Said kwenda kwa Boss wa Mpira wakati Logically uliyemkosea si Yeye bali ni Taasisi yake nzima ya TFF ambayo mara kwa mara umekuwa Ukiidhalilisha kwakuwa unabebwa na kupewa Jeuri na Mstaafu wa Msoga mwenye...
Hapo nyuma tumeona jinsi Kamati ya Maadili ya Bunge ilivyokuwa na nguvu. Baadhi ya Wahanga wake ni Pascal Mayalla, Zitto, CAG aliyepita, Gwajima na wengine wengi. Hapo nyuma tuliona jinsi watu walivyoitwa kwa mkwara, kuadhibiwa na kuonywa.
Ninachoshangaa ni jinsi Spika anavyoshambuliwa...
Nadhani ni wakati muafaka kwa Jobo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge ili aeleze kwa nini awamu ya tano hakuwahi kuhoji kuhusu serikali kukopa? Awamu ya tano ilikopa takribani trillion 29, leo anahoji serikali ya mama kukopa
Naomba kuuliza! Mh. Spika anapomuita mtu kwenye ile kamati yake "Maadili na Hadhi Bunge", huwa ni adhabu gani inaweza tolewa kwa mtu ambaye siye mbunge?
Dodoma. Wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM kuhojiwa kuhusu masuala tofauti.
Wabunge wengine watakaohojiwa leo ni Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) ambao...
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.
Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?
Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
Kiukweli Watanzania kama taifa bado tuna safari ndefu sana kufika kule tunakotarajia kufika.
Jana mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Bunge mh Mwakasuka na wajumbe wa kamati wametumia takribani saa 3 kuelezea utovu wa nidhamu uliofanywa na wabunge Jerry Silaa na Askofu Gwajima.
Kwa bahati mbaya...
Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power.
Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
Jerry Silaa
KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili huo na kupendekeza asimamishwe kuhudhuria mikutano miwili mfululizo, pamoja na kuondolewa uwakilishi wa Bunge katika Bunge la Afrika (PAP)...
Kamati ya Maadili imesema kitendo cha Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima kukataa vitu alivyoandaliwa kama ujeuri.
Gwajima alikataa kutumia kiti na kipaza sauti, siku ya nyingine alikataa kukaa chini kama alivyoelekezwa.
Aidha amesemwa kutojibu maswali kadiri yalivyoulizwa bali aling'ang'ania kuwa...
Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kukamatwa kwa mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa baada ya kutofika katika shauri lake.
Silaa alihojiwa mara ya kwanza na kamati hiyo Agosti...
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemuhoji mbunge Jerry Slaa, mbunge wa Ukonga, kwa tiketi ya CCM, kutokana na amri iliyotolewa na Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai, kwa madai kuwa amesema uongo na kulidhalilisha Bunge hilo!
Ikumbukwe kuwa mbunge Jerry Slaa, siku chache zilizopita...
Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.
Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa...
Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo.
Nini Kitatokea mbeleni Tungoje, Kwa Mtindo Huu Wanaweza Hata Kupewa Adhabu ya...
Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni...
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.