Hapo nyuma tumeona jinsi Kamati ya Maadili ya Bunge ilivyokuwa na nguvu. Baadhi ya Wahanga wake ni Pascal Mayalla, Zitto, CAG aliyepita, Gwajima na wengine wengi. Hapo nyuma tuliona jinsi watu walivyoitwa kwa mkwara, kuadhibiwa na kuonywa.
Ninachoshangaa ni jinsi Spika anavyoshambuliwa...