kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Street Hustler

    UWAJIBIKAJI: Tra&polisi ilala, Mawaziri Biashara, Fedha na Umeme bungeni waziri Nishati na kamati bungeni

    Hii sio nchi ya mtu mmoja au kikundi Cha watu fulani wachache hvyo likitokea Jambo tunaunga kwa pamoja kutatua changamoto. Kero za Tra na Askari kukamata mizigo ovyo ovyo sio kariakoo tuu ni swala la kitaifa. Kero za umeme kukatika bila mpangilio sio let bungeni tuu Bali swala la kitaifa...
  2. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  3. BARD AI

    Mtanzania Ghaamid Abdulbasat, ateuliwa na Umoja wa Mataifa katika Kamati ya Ushauri IAC

    Umoja wa mataifa umemteua Ghaamid Abdulbasat kuwa mwanachama wa Kamati ya Ushauri (IAC) kwa niaba ya vijana Afrika na duniani kutekeleza itifaki ya Nagoya ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Bioanuwai/Mazingira. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, uteuzi wake unalenga...
  4. O

    Siri wajumbe kamati ya BAKWATA kujiengua

    Siku moja baada ya wajumbe watano kati ya saba wa kamati ya maboresho ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kujiuzulu, wajumbe hao wameeleza sababu za kufanya hivyo, ikiwamo ugumu wa kupata taarifa sahihi za fedha. Kamati hiyo ilizinduliwa na Mufti, Abubakar Bin Zubeir, Februari 16...
  5. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Ngara Yatembelea Bunge la Tanzania

    MHE. NDAISABA RUHORO ATEMBELEWA BUNGENI NA KAMATI YA SIASA WILAYA YA NGARA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro wiki hii aliialika Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Ngara chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mwl. Vitalis Ndailagije na Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias Julius Kahabi...
  6. NetMaster

    Kamati ya mapokezi, Kuna wanawake ukionekana nao watu wanakuona wewe ni mgeni wa mji ama mgeni wa mapenzi

    Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa. Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu...
  7. S

    Wasira baada ya Rais kumtupa nje ya Kamati Kuu CCM ndio unawaita wenzako wanafiki?

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi. Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi. Wasira...
  8. Roving Journalist

    Kamati ya Katiba na Sheria Bungeni yashauri Idara za Serikali kumtumia Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote uchapishaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza idara zake zote kutumia ofisi ya mpiga chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote zinazohusu uchapishaji...
  9. benzemah

    Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo: 1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi 2. Serikali...
  10. benzemah

    PICHA: Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu Ikulu Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe 01 April 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam.
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ezra Chiwelesa Achaguliwa Kuwa Rais wa Moja ya Kamati Bunge la Maziwa Makuu

    MBUNGE MHE. EZRA CHIWELESA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MOJA YA KAMATI BUNGE LA MAZIWA MAKUU. Tarehe 27 Machi, 2023 umefanyika uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa Kamati za Kudumu za Bunge la Nchi za Maziwa Makuu Jijini Juba Sudani Kusini. Katika uchaguzi huo Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi...
  12. T

    Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

    Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania. Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
  13. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge Yaidhinisha Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

    KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  14. Stephano Mgendanyi

    Nyumba 196 Zilizojengwa na WHI Jijini Dodoma Zaikosha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria

    NYUMBA 196 ZILIZOJENGWA NA WHI JIJINI DODOMA ZAIKOSHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama amesema kamati yake imeridhishwa na viwango vya nyumba 196 zilizojengewa na Watumishi...
  15. J

    Kamati ya miundombinu yahimiza nguvu zaidi taasisi ya teknolojia ya ujenzi - ICoT

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YAHIMIZA NGUVU ZAIDI TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI - ICoT Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, kuongeza nguvu kwenye Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT), kwa kuitengea fedha za kutosha ili iweze kujiendeleza kwa kuwa na...
  16. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge Utawala Yaridhishwa na Jitihada za Mlengwa wa TASAF Wilayani Uyui

    KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA YARIDHISHWA NA JITIHADA ZA MLENGWA WA TASAF WILAYANI UYUI NA KUMCHANGIA 530,000/= KUMUWEZESHA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo amesema kamati yake imeridhishwa na...
  17. K

    Rais Samia: Suala la Katiba hakuna anayelikataa. Si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa

    Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya. "Suala la katiba hakuna...
  18. R

    Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima. Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
  19. J

    Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad apata Uteuzi CCM

    Kaimu Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Malezi ya Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam. Source: Jambo TV Mlale unono! === Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu...
  20. Stephano Mgendanyi

    Nicholaus Ngassa aongoza kikao cha kamati ya mfuko wa jimbo

    MHE. NICHOLAUS NGASSA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MFUKO WA JIMBO. Wajumbe wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga wakipitia mchanganuo wa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kuidhinisha matumizi. Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga kimeongozwa na Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mbunge wa...
Back
Top Bottom