kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamati ya amani ya viongozi wa dini imfukuze sheikh Alhad Mussa, kadhihirisha hafai kwa lolote

    Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
  2. Mufti wa Tanzania aivunja Kamati ya Mwezi na kuunda Mpya. Aiongezea nguvu

    BAKWATA inapenda kuufahamisha Jamii ya Waislam kuwa Mheshimiwa Mufti wa Tanzania ameivunja kamati ya Mwezi iliyokuwepo na kuunda kamati Mpya na kuoongezea nguvu.
  3. Mkurugenzi TANESCO atakiwa kujieleza mbele ya Kamati ya Bunge (PIC)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), imewatimua vigogo wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kwa kushindwa kufika mbele ya kamati hiyo kwa Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi wa shirika hilo. Mbali na hilo, kamati hiyo imewataka vigogo wa shirika hilo kuandika barua...
  4. M

    Kamati Kuu ya CCM vs Kamati Kuu ya CHADEMA

    Kuna mjadala mpana nimeukuta mahali kuhusu mgawanyo wa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama umezingatia umoja wa kitaifa bila ubaguzi wa dini, jinsia, kanda na makabila. Kwa upande wa CCM...
  5. M

    Kamati imetumia 'siasa’ suala la Fei Toto

    SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu. Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe kisiasa na kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Fei Toto...
  6. Mradi wa Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari-Butiama wakaguliwa na Kamati ya Bunge - Jimbo la Musoma Vijijini

    Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama. Gharama ya Mradi huu ni kubwa: ~ Tsh bilioni 70.5 kutoka Serikali ya Saudi Arabia (49.12%), BADEA (31.40%) na Serikali ya Tanzania...
  7. Milioni 200 zajenga madarasa Ludewa, kamati ya siasa yapita kukagua

    MILIONI 200 ZAJENGA MADARASA LUDEWA, KAMATI YA SIASA YAPITA KIKAGUA Ikiwa tunaelekea mwezi Januari mwezi ambao wanafunzi huripoti shuleni kuanza na kuendelea na masomo yao, kamati ya siasa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefanya ziara ya kukagua vyumba 10 vya madarasa katika sekondari...
  8. Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

    Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama. Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
  9. Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

    Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
  10. Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  11. Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  12. Wakati Ripoti ya Mwakyembe bado gizani, Law School of Tanzania waendelea kunoa 'wembe'. Watangaza ratiba ya mitihani inayohusisha supp

    Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha kutisha kwisha toka tarehe 13 Novemba 2022, hakuna taarifa ni lini Kamati hiyo itasoma na kukabidhi...
  13. Kamati Kuu CCM wachukulieni hatua hawa Mawaziri, wanakichafua chama

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  14. Olengurumwa: Huenda baadhi ya ripoti za tume na kamati zinazoudwa hushindwa kuwekwa wazi kwa sababu ya hofu

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ametoa maoni kuwa uenda baadhi ya ripoti za Tume na Kamati mbalimbali ambazo huundwa kuchunguza masuala mbalimbali ushindwa kuwekwa wazi kwa kuwa taarifa zinaweza kuwa zinawagusa wenye mamlaka...
  15. F

    Neno la shukrani kwa Kamati kuu na NEC ya CCM kwa uteuzi bora wa wagombea

    Kwa mara nyingine tena siwezi kuficha hisia zangu za furaha kwa kazi nzuri iliyofanywa na kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM taifa kwa uteuzi bora wa wagombea. Nami pia nilikuwa ni moja ya watia nia kwa nafasi ya uenyekiti wa UVCCM Taifa lakini sijafanikiwa kupita lakini hilo haliachi...
  16. B

    Luhaga Mpina (mb), akichangia kuhusu taarifa za kamati za kudumu za bunge za PAC, LAAC na PIC

    1. UTANGULIZI Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008 inayofafanua...
  17. Tumeingia Tunisia na Wazee wetu Watatu. Hawa ni wazee wapya wa Kamati ya Ushindi. Watunisia wamelala kwao....

    Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa. Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya...
  18. Bungeni: 2016/18 Bodi ya Mikopo ilitoa Tsh. Bil 1.76 kwa wasio na sifa kwa maelekezo ya Serikali

    Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali. Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
  19. Kamati ya Bunge ya Miundombinu yataka kuwepo kwa haki ya kusahaulika

    Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali wakiwemo JamiiForums amesema ni muhimu kwa sehria hiyo kutambua haki ya...
  20. Nikiwa kama mwana Simba SC naiomba Kamati ya Maadili ya TFF iwafungie Chama na Sakho

    Mimi ni mwanamichezo, mwana Simba SC lia lia na napenda utani na utani wetu wa Simba na Yanga ila sipendi na sifurahii upumbavu (Upan'gang'a) pale ukitokea. Nitamshangaa na nitawashangaa pia kuona wana Simba SC wenzangu wakinichukia kwa hili na hata kutoniunga mkono kama kweli wana Spirit of a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…