kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamati ya Bunge yapongeza(NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji

    Na WyEST, DAR ES SALAAM. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji mitihani ambao umerahisisha zoezi la usahihishaji mitihani ya Taifa. Pongezi hizo zimetolewa Jijini...
  2. J

    Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022. #CCMImara #KaziIendelee
  3. Kamati ya Mdundo wa Taifa yaanza kupokea maoni

    Kamati ya Mdundo wa Kitaifa iliyoundwa hivi karibuni na Waziri Tamaduni Sanaa na Michezo Mohamedi Mchengrwa imepokea maoni Kutoka kwa Wadau mbalimbali wa muziki ikiwemo watayarishaji wa muziki, watunzi, watangazaji wa vyombo vya habari pamoja wasanii wa ngoma za asili lengo ni kupata vionjo...
  4. J

    Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Ujenzi wa Shule mpya kupitia mradi wa Sequip

    KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
  5. Kamati ya Bunge kumhoji Trump

    Washington. Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameitwa mbele ya Kamati ya Bunge (Capitol Hill) kuhojiwa kuhusiana na vurugu za wafuasi wake waliovamia Bunge wakipinga ushindi wa Joe Biden kuwa Rais wa 46 wa Marekani. Kamati hiyo ilikuwa ikichunguza vurugu zilizotokea Januari 6, 2021 baada...
  6. Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo. “ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi...
  7. J

    Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
  8. Bado nalia na Kamati ya Usajili ya Simba, kushinda michezo ya kimataifa kusitusahaulishe

    Habari wakuu. Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu. Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA. Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu. 1. Peter Banda. 2. Mohamed Ottara 3. Dejan aliyeondoka. 4. Okwa Nelson...
  9. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea miradi ya TBA Dodoma

    Imewekwa: Thursday 22, September 2022 Septemba 17, 2022 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefanya ziara ya kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma. Miongoni mwa miradi iliyotembelewa inajumuisha mradi wa ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali...
  10. Wakili D'Souza kuongoza Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Novemba 27

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) linatarajiwa kuziba nafasi za uongozi zilizo wazi Novemba 27 jijini Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa AT Wakili Jackson Ndaweka alisema, kikao cha kamati tendaji kilichofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba mosi...
  11. Kamati za kudumu za Bunge kukutana kuanzia Oktoba 10-30, 2022 Jijini Dodoma

    Kamati nne (4) za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana tarehe 10 hadi 30 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma. Kamati hizo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
  12. K

    Kamati ya Mazingira ya Bunge

    Je, hii kamati, huwa inapangiwa sehemu za kutembelea au wanajipangia? Naona wanatembelea viwandani tu ambako waathirika ni watu chini ya 1,000, wakati masoko yote ni machafu kupidukia na inaathiri DSM nzima. Waende soko la Stereo wakajionee na waipige faini manispaa ya Temeke hizo pesa wapewe...
  13. K

    Kamati ya kubadilisha Polisi isikilize wananchi kwanza!

    Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya 1. Polisi kuingilia chaguzi. Tumeona Kenya mfano mzuri wa kuiga 2. Rushwa 3. Unyanyasaji 4.kupendeleana kwenye vyeo 5. Mafunzo
  14. Kamati ya Bunge ya Sheria yabaini dosari 33 kwenye sheria ndogo 14

    Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jasson Rweikiza amesema hayo leo Jumatano Septemba 21, 2022 wakati akiwasilisha uchambuzio wa taarifa za maazimio ya Bunge kuhusu sheria ndogo. “Kamati ilibaini dosari ya kukinzana na masharti ya sheria inayotoa mamlaka ya kutungwa kwa sheria ndogo inayohusika na...
  15. Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  16. Barbara Gonzalez na Wallace Karia watangazwa kuwa Wajumbe wa Kamati za CAF

    Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili. Kamati hizo...
  17. Kamati Kuu ya CCM fanyeni maamuzi magumu. Mpumzisheni Rais Samia, Serikali yake ni kigeugeu!

    Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa hatari wa ugaidi KILA siku anakaribishwa ikulu Sasa unajiuliza Mbowe aliyekuwa Gaidi Ndio huyu wa...
  18. R

    Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

    Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali. Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala. Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
  19. Bunge Kupokea Maoni ya Wadau Kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022. Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya wadau utafanyika siku ya Jumanne tarehe 20 Septemba, 2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Pius...
  20. Tetesi: Moto wafukuta ndani ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…