Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria...
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani.
Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
Kumiliki silaha ni jambo ambalo linahitaji mchakato makini hasa katika nchi yetu.
Pamoja na umakini huo bado nashindwa kuelewa inakuwaje kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa iskae kujadili waomba umiliki wa silaha kwa zaidi ya miaka minne.Watu wanaopewa nyadhifa kubwa security vetting inafanyika...
Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi.
Sasa kiki ya...
Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo.
======
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri
Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao...
Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona.
Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe mashtaka kwani mapendekezo ya Ripoti lazima yatathminiwe na Mwendesha Mashtaka Mkuu ambaye ni Mteule wa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi...
MHE.NDUGULILE (MB) ATEULIWA KAMATI YA SHERIA NDOGO NA MASUALA YA UKIMWI
Mbunge wa Kigamboni Mhe.Faustine Ndugulile Leo Oktoba 09,2021 amekuwa sehemu ya walioteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai ambapo ameteuliwa kuwa Mjumbe kwenye Kamati ya Sheria Ndogo na...
Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P?
Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable,
Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili ,
Mwenye majibu atusaidie
Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba.
Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza...
Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma.
#ChamaImara
#KaziIendelee
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.
Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?
Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power.
Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
Mimi nashangaa kidogo jinsi mambo yanavyokwenda dhidi ya mashtaka ya wabunge Mch. Gwajima (Kawe - CCM) na Jerry Silaa (Ukonga - CCM) ambapo mjadala unaendelea hata sasa niandikapo hoja hii...
Tayari m/kiti wa kamati ya "kuhoji" wenzake ameshasoma taarifa ya mahojiano na mapendekezo ya hatua...
Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima.
Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.