kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Badala ya kuwatumia wateule wenu kuanzisha michakato na kamati feki, CCM simameni mjibu hoja za washindani wenu

    Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria...
  2. E

    Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa simiyu imeomba serikali kuajiri walimu

    Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani. Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
  3. M

    Kamati za ulinzi na usalama mnawaonea walionunua silaha

    Kumiliki silaha ni jambo ambalo linahitaji mchakato makini hasa katika nchi yetu. Pamoja na umakini huo bado nashindwa kuelewa inakuwaje kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa iskae kujadili waomba umiliki wa silaha kwa zaidi ya miaka minne.Watu wanaopewa nyadhifa kubwa security vetting inafanyika...
  4. Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  5. TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

    Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi. Sasa kiki ya...
  6. Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950

  7. Serikali imefuta matokeo ya nadharia kwa masomo ya Utabibu Ngazi ya Tano baada ya kubainika kuwa ilivuja

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo. ======
  8. Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi nzuri Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao...
  9. #COVID19 Brazil: Kamati ya Seneti yapendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe

    Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona. Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe mashtaka kwani mapendekezo ya Ripoti lazima yatathminiwe na Mwendesha Mashtaka Mkuu ambaye ni Mteule wa...
  10. J

    Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi...
  11. J

    Dkt. Faustine Ndugulile ateuliwa Kamati ya Sheria Ndogo na Masuala ya UKIMWI

    MHE.NDUGULILE (MB) ATEULIWA KAMATI YA SHERIA NDOGO NA MASUALA YA UKIMWI Mbunge wa Kigamboni Mhe.Faustine Ndugulile Leo Oktoba 09,2021 amekuwa sehemu ya walioteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai ambapo ameteuliwa kuwa Mjumbe kwenye Kamati ya Sheria Ndogo na...
  12. Kamati ya Sheria Ndogo ya Bunge

    Wajumbe wake wapya ni Dr. Chamuliho, Dr. Kalemani, na Cde. Polepole. Powers za kamati hii ni zipi?
  13. Kwanini viongozi wengi wanapowekwa rumande/gerezani au kuitwa kwenye kamati ya masdili hupenda kubeba vitabu?

    Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P? Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable, Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili , Mwenye majibu atusaidie
  14. M

    Naheshimu Kamati ya Usajili ya Simba SC, ila nauliza Shiboub tuliyemwacha ana tofauti gani na huyu Kanoute tunayemsifu leo?

    Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba. Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza...
  15. B

    Kikao cha Kamati Kuu ya CCM chakamilika Dodoma

    Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma. #ChamaImara #KaziIendelee
  16. B

    Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
  17. Z

    Humphrey Polepole naye ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili?

    Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili. Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression? Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
  18. U

    Spika atishia kuwaita IGP Siro, AG, na waziri M.Ndani kamati ya maadili kwa kushindwa kushughulika na Gwajima

    Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power. Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
  19. What is going on? Wachangiaji wa hoja ya mashtaka ya Mch. Gwajima (MB) na Jerry Silaa (MB) wote ni wajumbe wa ile kamati iliyowahoji..!!

    Mimi nashangaa kidogo jinsi mambo yanavyokwenda dhidi ya mashtaka ya wabunge Mch. Gwajima (Kawe - CCM) na Jerry Silaa (Ukonga - CCM) ambapo mjadala unaendelea hata sasa niandikapo hoja hii... Tayari m/kiti wa kamati ya "kuhoji" wenzake ameshasoma taarifa ya mahojiano na mapendekezo ya hatua...
  20. Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

    Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima. Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…