kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Kamati Yapongeza Matumizi ya Mapato ya Ndani Kukamilisha Miradi Tunduma

    KAMATI YAPONGEZA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI KUKAMILISHA MIRADI TUNDUMA. Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutumia mapato ya Ndani kujenga shule ya Sekondari ya Uwanjani. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Justin Lazaro...
  2. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini Yagawa Vifaa vya Ujenzi

    Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. Waliohudhuria Kikao hicho: (i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo (ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
  3. Ngongo

    Pre GE2025 Wenje adai Lissu akiwa Mwenyekiti Kanda ya Kati alitimuliwa na Kamati Tendaji mwaka 2012

    Heshima sana Wanajamvi. Kwa mujibu wa Hezekiah Wenje, Mwaka 2012 Lissu alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Kati. Ndani ya Mwaka mmoja hakufanya chochote katika kanda hiyo.Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati ilimfukuza. Ikiwa Kanda ya Kati yenye Mikoa ya Morogoro,Dodoma & Singida ilimtoa hadi Kamati...
  4. M

    Mbona Wenje anatoa siri za Kamati upande wa pili wanamwona shujaa akisema Lissu mnasema mropokaji kweli Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa anaelekea kufa

    Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji, Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
  5. Cannabis

    Wenje: Nasikitika kwa sababu Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya CHADEMA ameshindwa kusimamia maadili

    Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti Ezekiah Wenje amesema anasikitishwa sana na kushindwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CHADEMA (Tundu Lissu). Amesema tokea ashike nafasi hiyo hajawahi kuitisha hata kikao kimoja cha kamati hiyo ya maadili na hivi sasa kuna watovu wa nidhamu wengi...
  6. M

    Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  7. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  9. fasiliteta

    Vijana wa kamati kuu CHADEMA komaeni, mabadiliko si lelemama

    Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi. Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma. Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman...
  10. Melubo Letema

    Kufutwa kwa Mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania ( TOC)

    Katiba ya mchongo imemlazimu Msajili kufuta uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
  11. Bams

    Kikao Cha Kamati Kuu, kwenye Habari ya Maridhiano, Mbowe akiri alifanya kosa kubwa

    Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema. Leo kila mmoja ana uhakika...
  12. Q

    Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
  13. G

    CHADEMA mkikutana Kamati Kuu, jadilini njia mbadala ya kupambana na CCM. Dhulma ifike mwisho

    Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Dawa ya moto ni moto, na dawa ya figisu ni figisu. Wenyewe husema "ubaya hujibiwa kwa ubaya". Ili majogoo...
  14. Tlaatlaah

    Hivi kwanini tangu kuanzishwa kwake, CHADEMA haitaki kabisaa kuwa na kiongozi mwandamizi mwanamke kamati kuu?

    Ni mfume dume au wanawake hawaaminiki nyani ya vyama vya siasa? au muundo wake ni kwamba mwanamke marufuku kamati kuu Taifa? Mungu Inusuru CHADEMA na mpasuko 🐒 Mungu Ibarki Tanzania
  15. Yoda

    Kutangazwa hadharani wajumbe wa kamati nzima ya uchunguzi majengo Kariakoo ni kosa la kiufundi

    Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani. Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema. Katika...
  16. Pfizer

    Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  17. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge, PIC Yaridhishwa na Uwekezaji wa Serikali Viwanja vya Ndege Nchini

    KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Ujenzi wa Viwanja vya Ndege nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam 15...
  18. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge Yaitaka TRC Kuweka Mikakati ya Kuhudumia Mizigo Ili Iweze Kujiendesha

    Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeipongeza Serikali kwa kukamilisha vipande viwili vya vya mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kuanza kutoa huduma. Akizungumza jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba 2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
  19. Roving Journalist

    Kamati ya PIC: Tunaelekeza Wanaohujumu Mradi wa SGR wachukuliwe hatua kali za kisheria

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeelekeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuweka teknolojia za ulinzi ili kuthibiti uhalifu kwenye mradi wa Reli ya SGR huku ikisisitiza hatua kali za kisheria kuchukuliwa kwa wanaobainika kuhusika na vitendo vya kuhujumu...
  20. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge yawataka Watumiaji wa Daraja la Nyerere, Kigamboni Kulipia Bando

    *Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu *Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
Back
Top Bottom