kamera

The Goldene Kamera (English: Golden Camera) is an annual German film and television award, awarded by the Funke Mediengruppe. The award show (Verleihung der Goldenen Kamera) is usually held in early February in Hamburg, but has also taken place in Berlin in the past.The gold-plated silver award model was created by Berlin artist Wolfram Beck. It is 25 centimetres (9.8 in) high and weighs around 900 grams (2.0 lb).

View More On Wikipedia.org
  1. Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  2. Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

    Israel imezidi kuonesha unyama wake na kibri kilichopitiliza ada kwa kukataa kufungua mpaka wa Rafah ili raia wa nchi rafiki zake waweze kuondoka Gaza. Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema malori mengi ya misaada ya kibinadamu yapo mpakani tayari kuingia Gaza na upande wao uko wazi kwa...
  3. Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

    Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani. Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
  4. Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

    Angalia video hii, kama unawatambua toa taarifa upate zawadi yako ya Tsh. laki 5.
  5. SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
  6. G

    Computer4Sale Pata hii HP laptop na hii Sony kamera kwa bei rahisi

    Jipatie hii laptop HDD 500 Gb, RAM 4GB, Intel Celeron 1.6Ghz Inakaa na charge mpaka masaa mawili na nusu kutegemeana na matumizi. Bei Tsh 230,000. Napatikana kinondoni vijana. Simu 0765137266 Pia kuna hii kamera kwa wale wenye biashara ya studio za kupiga passport. Sony original...
  7. Tunakuletea Kamera kibunifu ya Balbu ya CCTV - ongeza Usalama Wako wa Nyumbani! 🏠💡📷

    Tangazo la Kusisimua! 🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟 Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani kamera ya uchunguzi ipo kama taa za ya nyumba yako? Kweli, basi swala la ulinzi dukani au nyumbani...
  8. R

    Wanawake wagundua kamera zilizofichwa bafuni katika nyumba ya kupangisha kwa muda (Airbnb)

    Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa zimeelekezwa bafuni. Mmoja wa marafiki hao aliona video kutoka mtandao wa Tiktok ikiongelea kuhusu...
  9. Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  10. Nitoe tahadhari kwa mnaotaka kununua simu za Sony Xperia Z1, Ni bei rahisi kamera kali ila utajuta kwenye Network.

    Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!! ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
  11. Wauzaji wa kamera Zanzibar

    Naomba mnisaidie ofisi ya wauzaji wa kamera wa uhakika waliopo Zanzibar. Mawasiliano yao au jina la account ya instagram itakuwa bora zaidi.
  12. Ajali ya Mwendokasi Dar es salaam kule Posta inatukumbusha umuhimu wa Kamera za Mitaani kwenye Majiji

    bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe. Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
  13. Azam sports media Kwanini Mechi ya Jana CCM kirumba mlifunga kamera upande mmoja tu?

    Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi. Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari...
  14. Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

    Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
  15. M

    SoC02 Mifumo ya CCTV kamera ni jicho pekee litakalotazama jiji la Dar es Salaam

    Tupo kwenye kwenye karne ya 21 kwenye zama za sayansi na teknologia ambayo hujaribu kutatua na kuleta mbadala wa huduma na kazi zinazofanywa na mwanadamu kwenye kuhakikisha maisha ya wanadamu yanaenda na kuendelea kwa hali iliyo nzuri na ya kuridhisha . Kwa kufanikisha hilo wanasayansi kwenye...
  16. Kwanini watu wa kamera wanaruhusiwa kuhujumu ziara ya Rais Samia?

    Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ameonyesha wazi kutoridhika na utendaji kazi wa wapiga picha waliokuwa kwenye msafara wake kwa kushindwa kupiga picha nzuri zinazoonyesha umati wa watu wanaofika kumpokea. Rais Samia akiwa Njombe amelazimika kuwaagiza wapiga picha kupanda juu ya magari ili waweze...
  17. Kioo Cha kamera ya nyuma Infinix Hot 11

    Wakuu kwa bahati mbaya kioo cha kamera ya simu yangu aina ya Infinix Hot 11 (kamera tatu Kwa nyuma). Kimecrack hivyo kufanya camera kutokupiga picha angavu. Msaada Kwa wapi naweza pata replacement na itakuwa bei gani. Kwa Sasa nipo Mwanza.
  18. TFF: Bei ya VAR ni Sh Bilioni 14.5, kamera ziwe 38, kila mechi timu zinalipia Sh milioni 7

    Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia amezungumzia matumizi ya VAR wakati wa kufunga semina ya siku tatu ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika jana Februari 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Haya hapa ndiyo aliyoyasema Karia: “Unajua gharama za VAR? Sawa...
  19. Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

    Habarini wadau. Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandamwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu...
  20. Tecno Camon 18 kuja na Gimbal Kamera

    Kuelekea mwisho wa mwaka 2021 kampuni ya simu za mkononi TECNO yenye mashabiki wengi hasa upande wa simu janja inatarajiwa kuzindua toleo jipya la mfululizo wa simu zake aina ya TECNO Camon 18 yenye ubora ulioboreshwa hasa upande wa picha na video. Series ya CAMON imekuwa ikiaminika kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…