kamishna

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANZIA SACP Beatus Silla wa Polisi Makao Makuu hatunae tena

    Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi. Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile...
  2. KAMISHNA ;ZILE GARI ZA KUTOKA KENYA ..UGANDA CHUNGUZENI PALE WANAPOKANYAGIA...KWENYE KORIDOO HATAREE....

    Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa Fanyaaaa showe wiki nzimaaa Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa N...
  3. Tulioumizwa viwanja Jiji & Kamishna Mkoa Dodoma 2024 tukutane hapa!

    Wife yupo Dodoma huko serikalini, nafanya shughuli zangu DSM, tangu enzi za magufuli kuhamisha watumishi nikasema ninunue viwanja kadhaa, ashukuriwe Mungu vingine nilijenga na nilipata wapangaji wazuri, in the process kujenga vingine nikaja gundua kumbe ni viwanja hewa, vina double allocation...
  4. Kamishna wa Polisi Tatu Rashid Jumbe anaweza kujaa kuwa IGP mzuri siku za usoni

    Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo. Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
  5. Akiwa msibani, Kamishna wa TRA aahidi kushirikiana na Polisi katika kukamata wakwepa kodi kuanzia sasa

    Wakuu, Sakata la yule Afisa wa TRA aliyefariki limeendelea kuchukua sura mpya. =================== Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Mwenda, ametangaza kuwa oparesheni zote za kitengo cha Fast cha kudhibiti wakwepa kodi zitafanywa kwa kushirikiana na Jeshi la...
  6. Wanaume mpeni maua Kamishna ACP Debora Magilimba

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia yaliyopo katika vituo vya polisi kwani huo ni ukatili. ACP Debora ametoa wito huo Desemba 1,2021 wakati...
  7. Nairobi: Kamishna Mkuu wa TRA atembelea Ubaloz wa Tanzania nchini Kenya

    Baada ya kikao cha Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda ametembelea ubalozi wa Tanzania nchini humo na kuwashukuru watumishi wa ubalozini kwa kazi ya uwezeshaji wa shughuli za kibiashara...
  8. Rais wa TAHLISO atengua uteuzi wa Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili

    TAARIFA KWA UMMA 18 Septemba 2024 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili. UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
  9. Mpina afungua kesi dhidi ya Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni ya kuagiza Sukari

    Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi mbili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya kwanza ni dhidi ya Spika ambapo anahoji juu...
  10. Tusipofanya haya kila siku tutabadili Kamishna wa TRA

    Mwaka 2022/23 niliandika mada nzito sana kuhusu mambo yanayopaswa kufanywa bandarini kufuatia suala la kubadilishwa kila mara wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari. Nashukuru pendekezo langu nililolitoa la kufanya bandari zetu kuendeshwa kwa sehemu kubwa kwa mfumo wa PPP (Serikali na sekta binafsi)...
  11. Uteuzi: Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Bima ateuliwa kuwa Kamishna wa NCAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA) Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024 Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
  12. K

    Kamishna wa ardhi mkoa wa Geita ni mfano wa kuigwa

    Ni vema kusema ukweli. Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Geita ni mfano wa kuigwa. Wananchi wengi wa Mkoa wa Geita wamekuwa wakifuatilia HATI zao kwa muda mrefu bila mafanikio. Kila ukienda unaambiwa njoo kesho, tunaishughulikia, faili halionekani n.k. Kamishna mwenyewe alifunga safari mwenyewe...
  13. Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo binafsi ya kisiasa

    Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amelani kitendo cha upotoshaji wa hali ya uhalifu na usalama visiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar amesema usambazaji wa taarifa za upotoshaji kupitia mitandao sio tu kukosa uwajibikaji bali pia...
  14. Wenye CV ya Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji

    Ni ombi muhimu, mwenye CV ya Kamishna wa Uhifadhi ,,- TANAPA Juma Kuji . Aiweke hapa!
  15. Uteuzi na Utenguzi: Dkt. Kihamia ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Kuji awa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...
  16. R

    Kamishna Jenerali wa Kudhibiti dawa za kulevya nchini Ndugu Aretas Lyimo namwona kama kiongozi serious na anayeweza kulisaidia Taifa; hongera

    Huyu Bwana anahitaji pongezi kubwa sana. Anapambana na dawa za kulevya proffesionally siyo kisiasa kama watangulizi wake. Amebiresha mambo mengi kwenye taasisi hii kwa muda mfupi. Ameondoa Tambo za vyombo vya habari, amepiga marufuku kuchafua watu kisa siasa na sasa anakamata na kuchunguza...
  17. Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    OMBI LA KUTEULIWA KUWA KAMISHNA WA PETROLI NA GESI Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima na taadhima, naomba kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi katika Wizara ya Nishati, ili kujaza nafasi iliyo wazi. Nikiwa na uelewa mkubwa katika masuala ya mafuta na gesi, na kufahamu...
  18. Kilo 3000 za madawa ya kulevya zakamatwa..shikamoo kamishna na bado watasema wametesa sana watu

    Hongerasana mh kamishna lyimo kwa kazi nzuri................... Naangalia itv hapa naona mamlaka yetu wamekamata madawa ya kulevya kg 3000 Kamishna lyimo amesema mtandao waliokamata n mkubwa anafurahi kuona kile walichokitafuta wamekipata Mh lyimo anasema atapambana na mapapa mpaka huu...
  19. Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

    Swali. Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa? Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market? Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆. --- Kamishna wa Kinga na Tiba...
  20. Kamishna Mpya Ngorongoro, Richard Kiiza Aapishwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi Richard Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…