Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania.
Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani kwa mapambano Matukufu dhidi ya wezi wa Bandari zetu.
Kama aliyevuliwa ubalozi na Magufuli...
Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) na Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) wameelezea kutoridhishwa kwao kuhusu mradi wa Sarafu Mtandao "Crypto" unaoenezwa na mtandao wa Worldcoin.
Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo Agosti 2, 2023 na Taasisi mbili za Umma, zimeangazia wasiwasi wa...
Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), William Mwakilema amesema kifo cha Askari huyo wa Uhifadhi Daraja la Tatu, Samwel Edward Nassari kimetokea Agosti Mosi, 2023 eneo la Mbula katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi wakati akitekeleza majukumu yake ya ulinzi
Hifadhi...
Kishindo: Oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, hekari 535 zateketezwa – Kilimanjaro
Hekari 535 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa katika oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, iliyoanzia kutekelezwa ndani ya vijiji vya Rikweni, Heikondi, Tae na Mahande, WIlayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro ...
Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao.
Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi. Matokeo yake anashusha hasira zake kwa mwanafunzi.
Utakuta mwalimu anakrupiwa na mkuu wa shule mbele...
KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),Aretas James Lyimo ametaja malengo yake ambayo ameingia nayo ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Ameyasema hayo leo Aprili Mosi, 2023 mkoani Mtwara wakati...
Hii imefanyika Feb 23,2023.
International Criminal Tribunal for Rwanda ambayo imemaliza kazi yake, imekabidhi Detention Centre kwa Kamishna Jenerali, kuitumia anavyopenda. Ni Detention Centre ya watu mia moja(100).
Kila chumba kina choo. Lipo jiko pale. Haiitwi jela. Inaitwa Detention...
RIPOTA PANORAMA
MWENENDO wa mambo katika Sekta ya Bima si shwari baada ya kubainika kuwa Kamishna wa Usimamizi wa Bima (TIRA), Abdallah Baghayo Saqware ameshiriki kuanzisha Chuo Kikuu cha Bima na Mifuko ya Jamii barani Afrika, ambacho kwa jina la kimombo kinaitwa Africa College of Insurance and...
26 October 2022
Dar es Salaam, Tanzania
Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania
Video courtesy of Azam TV
Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi la 26 la vijana kutoa mikoa mbalimbali ya, Tanzania kuonesha uvumbuzi wao pamoja na kazi za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji na Kamishna Jenerali wa Magereza leo tarehe 29 Agosti, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Viongozi watakaoapishwa ni:
A. MAGEREZA
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza, SACP Mzee Ramadhani Nyamka, kuwa Kamishna Mkuu...
Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa.
Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
Wakuu habari zenu!
Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022, Anna Makinda amesisitiza kutowasahau walemavu katika zoezi la sensa litakalofanyika Agosti 2022.
Chanzo taarifa ya habari ITV jana.
Kwa hiyo mtakaobahatika kuwepo kwenye orodha ya waliochaguliwa kwenye kazi hii msisahau...
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China.
Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Yusuf Juma Mwenda kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), kuanzia leo Machi Mosi, 2022
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu mkuu kiongozi wa l iliyotolewa kwa vyombo vya...
Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora
Uteuzi wa Balozi Mzale umeanza leo Februari 18, 2022
Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk
Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna?
Naomba kujua vigezo vinavyotumika kuwaita Makamishna?
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)
Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini
Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.