kampala

Kampala (UK: , US: ) is the capital and largest city of Uganda. The city proper was estimated to have a population of 1,650,800 people on 31 July 2019 and is divided into the five boroughs of Kampala Central Division, Kawempe Division, Makindye Division, Nakawa Division, and Rubaga Division.
Kampala's metropolitan area consists of the city proper and the neighboring Wakiso District, Mukono District, Mpigi District, Buikwe District and Luweero District. It has a rapidly growing population that is estimated at 6,709,900 people in 2019 by the Uganda Bureau of Statistics in an area of 8,451.9 km2 (3,263.3 square miles).
In 2015, this metropolitan area generated an estimated nominal GDP of $13.80221 billion (constant US dollars of 2011) according to Xuantong Wang et al., which was more than half of Uganda's GDP for that year, indicating the importance of Kampala to Uganda's economy.
Kampala is reported to be among the fastest-growing cities in Africa, with an annual population growth rate of 4.03 percent, by City Mayors. Kampala has been ranked the best city to live in East Africa ahead of Nairobi and Kigali by Mercer, a global development consulting agency based in New York City.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Chuo cha Kampala hakijatupa ‘refund’ za Mwaka 2023, wanadai wanazirejesha Bodi ya Mikopo, kama kweli HESLB toeni tamko

    Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Wakati tukiwa mwaka wa pili (Mwaka 2023) kuna wengi...
  2. Safari ya Dar es Salaam kwenda Kampala

    Heri ya mwaka mpya!!!! Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda 🇺🇬 kukaa siku 10. Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba. Nataka nisafiri kwa bus, je ni...
  3. Ni kweli Watanzania waliopo Kampala ni wachache ukiwalinganisha na watu toka mataifa mengine jirani na Uganda?

    Nilifanya "karesearch" isiyo rasmi, nikabaini kuwa ingawa Watanzania nao pia wapo Kampala, lakini hawafikii idadi ya watu kutoka Kenya, Zambia, Zimbabwe, South Africa, na Namibia. Niliowaona wapo kwa uchache ni Wanigeria, Watanzania, Wamalawi, na Wasouth Sudan. Mataifa mengine, kama sikosei...
  4. Maajabu ya jiji la Kampala

    1. Si kubwa kama jiji la Dar Es Salaam, lakini ningeambiwa nichague pa kuishi, ningepapendelea Kampala kutokana na hali yake ya hewa nzuri 2. Lugha ya Kiganda ndiyo imetawala kuanzia kwenye maredio na mitaani. Kizungu hutumika kinapohitajika 3. Kuna maeneo kuna Waswahili pia. Kuna mahali...
  5. Jiji la Kampala linaweza kufananishwa na mji gani wa Tanzania kwa uzuri na maendeleo?

    Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo. Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri. Pamoja na kwamba ni jiji, lakini ukililinganisha na jiji la Dar Es Salaam ni kulionea, na ukisema...
  6. Basi gani linaenda Kampala kutokea Bukoba?

    Msaada wenu tafadhali! 1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba? 2. Nauli yake ni shilingi ngapi? Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama elfu ishirini za Kitanzania, japo walinianzia shilingi za Kiganda 40,000 lakini nilibargain hadi Ush...
  7. Bei ya nyumba za kulala wageni Kampala zikoje kwa sasa?

    Heri ya Krismas na mwaka mpya! Wiki ijayo nitakuwepo Kampala, na ninatarajia kuwepo huko kwa siku kadhaa! Tafadhali mliopo huko, na hata kwingineko wenye "taarifa" mnisaidie yafuatayo: 1. Bei za nyumba za kulala wageni(za kawaida, siyo za kifari), zina kawaida ya kubadilika mwishoni mwa...
  8. Kampala International University in Tanzania (KIUT) – December, 2024

    Kampala International University in Tanzania (KIUT) is a fully registered private university located in Dar es Salaam, just 6.3 kilometers from Julius Nyerere International Airport. KIUT is committed to providing a high-quality education and is now looking to expand its team. They invite...
  9. Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  10. Ushauri kuhusu kubadili kozi pale Kampala

    Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private? Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
  11. Bobi Wine atoka Hospitali baada ya madai ya kupigwa Risasi katika mzozo na Maofisa wa Usalama Kampala

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya jana kudaiwa kupigwa risasi katika mzozano na maofisa wa usalama Mji Mkuu wa Kampala. Bobi Wine aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Nsambya ameruhusiwa kutoka leo Jumatano Septemba 4, 2024...
  12. Mpaka upi utakaoniwezesha kufika Nairobi kwa kupitia Bunjumbura, Kigali na Kampala?

    Mwezi ujao ninatarajia kwenda Nairobi nchini Kenya. Kwa kuwa sijawahi fika Kigali, ninataka nitumie fursa hiyo kwa kupita kama njia. Matamanio yangu ni kupitia Bunjumbura na Kigali ambako kwa kila jiji nitalala siku moja. Baada ya hapo, nitaendelea na safari hadi Nairobi kwa kupitia Kampala...
  13. Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda mnawezaje kula Mdudu (Kitimoto) cha hapa kisicho la ladha kama ya kwetu Tanzania?

    Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli (Eneo) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba...
  14. B

    Kampala " The Busy City of Africa"

    Kampala, capital and largest city of Uganda. It occupies a series of hills at an elevation of about 3,900 feet (1,190 metres) and is situated in the southern part of the country, just north of Lake Victoria Kampala lies just north of Mengo, the capital of the kingdom of Buganda in the 19th...
  15. D

    I hope using english will make intellectuals understand not these youths of nowadays from SAUT. MUMU, SJUT, kampala etc.

    Yester Night i wrote on the nincompoops of our youths from the above mentioned universities. The big problem is lacking technical know hows about some critical issues and analysis. The fact that every matter that has risen is taken as it is through praises and/or support without any scrutiny is...
  16. Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  17. Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  18. Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

    Habari nahitaji mtu aliepo Uganda Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
  19. Battle: Dar Es Salaam VS Kampala

    Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Kampala wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
  20. Watanzania tulioko Kampala Uganda tunakutana wapi Jumamosi tarehe 20 April, 2024 kuitizama Derby ambayo nimehakikishiwa kuna Watu hawatoamini kabisa?

    Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda tafadhali nipeni tu ramani la Chimbo ambalo wengi wenu mtakuwepo Siku hiyo ili nami GENTAMYCINE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…