kampala

Kampala (UK: , US: ) is the capital and largest city of Uganda. The city proper was estimated to have a population of 1,650,800 people on 31 July 2019 and is divided into the five boroughs of Kampala Central Division, Kawempe Division, Makindye Division, Nakawa Division, and Rubaga Division.
Kampala's metropolitan area consists of the city proper and the neighboring Wakiso District, Mukono District, Mpigi District, Buikwe District and Luweero District. It has a rapidly growing population that is estimated at 6,709,900 people in 2019 by the Uganda Bureau of Statistics in an area of 8,451.9 km2 (3,263.3 square miles).
In 2015, this metropolitan area generated an estimated nominal GDP of $13.80221 billion (constant US dollars of 2011) according to Xuantong Wang et al., which was more than half of Uganda's GDP for that year, indicating the importance of Kampala to Uganda's economy.
Kampala is reported to be among the fastest-growing cities in Africa, with an annual population growth rate of 4.03 percent, by City Mayors. Kampala has been ranked the best city to live in East Africa ahead of Nairobi and Kigali by Mercer, a global development consulting agency based in New York City.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichwamoto

    Milipuko Jiji la Kampala na msemo wa Kiswahili "Mgema akinyolewa tembo..."

    Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba. Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na...
  2. benzemah

    Dharau zilivyoiponza Uganda, Mlipuko wa Bomu Kampala

    Jumanne 16, Novemba 2021, zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionesha mlipuko uliotokea katikati ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Taarifa kutoka katika mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa kilichotokea tukio la kujitoa mhanga katika maeneo mawili tofauti. Moja ya mlipuko huo ulitokea...
  3. beth

    We’re coming for you, Museveni tells terrorists

    President Museveni Tuesday said the terrorists have exposed themselves at a time when Uganda’s security infrastructure has improved, compared to what it was in 2018 when he made the speech to Parliament. Mr Museveni further said the terrorists who blew themselves up near the Central Police...
  4. beth

    Police: Three suicide bombers carried out Kampala twin explosions

    Police have said the twin explosions that hit Kampala at a police checkpoint and Parliamentary Avenue on Tuesday were carried out by three suicide bombers who died on spot. Police also said three other Ugandans had been confirmed dead and 33 three others injured, although the number of...
  5. Roving Journalist

    Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  6. Sam Gidori

    #COVID19 Watu 800 wachomwa chanjo feki ya Corona

    Polisi nchini Uganda inawashikilia wahudumu wawili wa afya kwa madai ya kuhusika kuwachoma takriban watu 800 chanjo feki za corona mwezi uliopita. Mtu mmoja, ambaye ni daktari, anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika kuwachoma watu hao chanjo katika mji wa Kampala kati ya Mei 15 na Juni 17...
  7. Ugumu wangu

    Kwani pale Kampala Kuna Nini mbona nasikia 🤸🤸

  8. J

    Basi la Classic kutoka Kampala lililopata ajali Shinyanga lilikuwa limebeba Wazanzibari tu?

    Kupitia taarifa ya habari ITV wameonekana abiria waliopata ajali ya basi la Classic kutokea Kampala kuja Dar es Salaam wakielezea namna ajali hiyo ilivyotokea. Majeruhi wote waliohojiwa ni Wazanzibar na abiria watatu waliofariki ni Wazanzibar. Naibu waziri wa mambo ya ndani ambaye ni Mzanzibar...
  9. Volatility

    Ushauri: Mama Samia ukitoka Uganda, tunaomba tuondolee Kamanda Sirro

    Najua kwa sasa machafuko ya huko Msumbiji yanakukosesha usingizi, ukizingatia ukaribu wa Taifa letu na maeneo ambayo Majeshi ya Serikali ya Msumbiji yameshindwa kudhibiti hao tunaombiwa ni magaidi. Mimi naomba nikutie moyo, hofu yako ni sahihi, na ninakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe busara za...
  10. J

    Rais Samia awasili Kampala Uganda vyombo vya habari duniani ikiwemo TBC viko mubashara.

    Rais Samia Sukuhu Hassan amewasili Kampala nchini Uganda na kupoke!ewa na Rais Yoweri Museveni. Watu wote akiwemo Rais Samia wamevalia barakoa Tukio liko mubashara TBC!
  11. Mtuflani Official

    Siasa zafanya MTV Base Africa kusistisha tuzo za MAMAs

    MTV Base Africa leo wametangaza kusitisha tuzo za MAMAs ambazo zilikua zifanyike 20 mwezi huu nchini Uganda. Ikumbukwe tarehe 14 mwezi wa kwanza Uganda ilikua na uchaguzi wa Urais ambako Museveni alishinda lakini watu walidai uchaguzi haukua wa haki. Dj maarufu duniani ambaye ni Dj Khaled na...
  12. Shadida Salum

    Maafisa wa KCCA kizuizini kufuatilia kuanguka kwa jengo Makindye Kampala

    KAMPALA- Polisi bado wanaendelea kutafuta watu ambao wanaaminika kufunikwa na kifusi kwenye jengo lililo anguka maeneo ya Makindye jijini Kampala Ijumaa ya Septemba 11 ,2020 majira ya saa mbili usiku. Mtu mmoja aliyefahamika kama Godfrey Oonyu ambaye ni mwalimu aliyekua akifanya kazi katika...
  13. Ziroseventytwo

    Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Tulizunguka sana. Arua, Kasese, portfot na kwingine kabla ya kufika Kampala. Swali ni kwanini tulizunguka sana badala ya kukatisha tu na kufika hapo kampala na kumtimua huyu nduli?
Back
Top Bottom