kampala

Kampala (UK: , US: ) is the capital and largest city of Uganda. The city proper was estimated to have a population of 1,650,800 people on 31 July 2019 and is divided into the five boroughs of Kampala Central Division, Kawempe Division, Makindye Division, Nakawa Division, and Rubaga Division.
Kampala's metropolitan area consists of the city proper and the neighboring Wakiso District, Mukono District, Mpigi District, Buikwe District and Luweero District. It has a rapidly growing population that is estimated at 6,709,900 people in 2019 by the Uganda Bureau of Statistics in an area of 8,451.9 km2 (3,263.3 square miles).
In 2015, this metropolitan area generated an estimated nominal GDP of $13.80221 billion (constant US dollars of 2011) according to Xuantong Wang et al., which was more than half of Uganda's GDP for that year, indicating the importance of Kampala to Uganda's economy.
Kampala is reported to be among the fastest-growing cities in Africa, with an annual population growth rate of 4.03 percent, by City Mayors. Kampala has been ranked the best city to live in East Africa ahead of Nairobi and Kigali by Mercer, a global development consulting agency based in New York City.

View More On Wikipedia.org
  1. Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

    Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa hasa Maeneo ya Nakasero ilipo Ikulu ya Uganda Mgeni wenu GENTAMYCINE nImewasili rasmi jana namba...
  2. S

    Nahitaji kusafirisha mizigo kutoka Kigoma kwenda Kampala

    Hi wanajamii, Nahitaji usafiri wa haya magari makubwa nataka kuchukua mzigo kutoka Kigoma kupeleka Kampala...
  3. Ni ujuzi gani wa kuongeza thamani ninaweza kujifunza kwa mwezi mmoja hapo Dar es Salaam, Nairobi au Kampala?

    Wakuu nawasalimu katika jina la Jamuhuri. Natarajia kuwa mapumziko ya mwezi mmoja katuka moja ta majiji ya EA DSM, Kampala, Nairobi au Kigali, Nataka kuyatumia pamoja na mambo mengine kuongeza na kujinoa kwa ajili ya kuwa bora zaidi. Naweza kusaidiwa mahali pa kujifunza ujuzi wowote kwa mwezi...
  4. Dar sio Jiji la harakati za Ukombozi kama ilivyo Nairobi, Kampala, Harare na majiji mengine

    Dar ni jiji limejaa watu waoga watupu na wajinga wengi sana, wapuuzi sana, huwezi linganisha Dar na hata Mbeya au.Mwanza au Arusha kwenye harakati, na pia ni tofauti na Majiji kama Nairobi au Kampala au Harare au Lusaka linapokuja suala la Harakati za Ukombozi. Tanzania harakati za Ukombozi...
  5. Kwa yanayoendelea Simba SC kipi kati ya haya mawili kilikuwa cha muhimu ilipocheza na Vipers FC leo Kampala?

    Je; 1. Simba SC icheze mpira wake wa Samba Loketo ila ifungwe au iambulie sare/suluhu kisha timu na mashabiki tuvurugane zaidi, tuchapane bakora, tuchekwe na watani zetu Yanga SC na mgogoro uzidi Kukua. au 2. Simba SC icheze vibaya kama ilivyocheza leo (tena ikiwa ugenini) Jijini Kampala...
  6. Wana Simba SC wote mnaomtukana, kumdharau na kutomtaka Kibu Denis akirejea kutoka Kampala mkamuombe Radhi

    Katika uzi wangu wa leo ambao pia nilijaribu kupanga vikosi vyangu viwili tofauti ambavyo niliona vingetupa matokeo na mwishoni, nilisisitiza mno kuwa mechi ya leo kwa uchezaji wa kutumia nguvu nyingi walionao waganda ingemfaa sana na angeisaidia Simba SC kimchezo. Huhitaji kupoteza muda au...
  7. Hatumpangii Kocha ila nasi Mpira tunaujua vile vile hivyo tunaomba moja ya Squad hili lianze leo Kampala

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Clatous Chama 9. Jean Baleke 10. Moses Phiri 11. Saido Ntibanzokinza Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Israeli Mwenda 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock...
  8. M

    Yaani anaachwa Dar es Salaam Mkude aliye Fiti anaenda Kampala Mchovu Sawadogo?

    Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu na Mizimu ya Kwetu ni Kuomba tu Simba SC tufungwe ili Safari hii tutoane Roho na Klabu isiwepo tena katika Ramani ya Soka Duniani. Na taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Mkude Kaachwa na kama vile anatengwa kwakuwa ni Mtu wa Msimamo na hataki kutoa 10% kwa...
  9. Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
  10. Kinachoendelea Kampala University ni kama utapeli, matokeo ya Wanafunzi 300+ wa Udaktari yana utata, Serikali itusaidie Wanafunzi

    Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya. Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati...
  11. Uganda: Virusi vya Ebola vyazidi kusambaa Kampala

    Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa ya kusambaa kwa Virusi vya #Ebola baada ya wanafunzi 6 kukutwa na maambukizi jijini hapo. Idadi hiyo inafanya jumla ya waliokutwa na maambukizi #Kampala kufika 15 kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Jane Ruth Aceng ikiwa ni siku chache tangu Serikali...
  12. Maambukizi ya Ebola yafikia watu 14 Kampala ndani ya saa 48

    Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita. Usambaaji wa kasi wa Ebola jijini Kampala umezusha hofu kwa raia kuwa huenda Rais Museveni akatangaza hatua kali za...
  13. Kampala: Kifo cha kwanza cha Ebola charipotiwa

    Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa #Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19. Baada ya kuanza kuonesha dalili alianza kupata matibabu kwa dawa za kienyeji badala ya kwenda hospitali, alifikwa na...
  14. Operesheni Wembley ya Kampala Uganda Watanzani tuna chakujifunza.

    Operesheni Wembley ni jina ambalo ilipewa operesheni ya usalama nchini Uganda mwanzoni mwa miaka 2001 ilikupambana na makundi mbalimbali ya uharifu kwa kuwakamata, kuwaweka kizuizini, kuwatesa na kuwaua majambazi wenye silaha. Raisi wa Uganda Y. Miseveni alianzisha operesheni hiyo Maalumu baada...
  15. M

    Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  16. N

    Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

    Tuliposema kwamba Ki aziz kapasua kingo za mto tuliitwa wajinga, maandazi, propaganda. Gharib alitoa millions 500 watu wakachafua madaftari wakijua kwamba kijana atakubali achukue signing fee nusu nyingine amaliziwe mwakani sasa kagoma na kutokana na jinsi walivyokuwa wamemkuza wakishirikiana na...
  17. Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya

    Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
  18. Laboratory Technician – Biochemistry at Kampala International University

    Overview Kampala International University in Tanzania (KIUT) is a Private University fully registered by the Tanzania Commission for Universities (TCU), and is located in Gongo la Mboto, Dar es Salaam (5kms) from Julius Nyerere International Airport. Qualifications and Requirements Applicants...
  19. Yaani Uganda anayetuzidi Kiwango 'Kafa' 2 Kwake Kampala na Algeria, leo tulio Mahututi Kimpira ndiyo tumfunge Algeria?

    Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania. Yaani anayetuzidi Kiwango ( tena katuacha mbali sana ) Uganda kachezea Kichapo ( Kafa ) Kwake tena kwa Goli 2 na Algeria, halafu leo tusiojua Tanzania ndiyo tunajidanganya na kujipa Moyo huku tukihimizana kwenda Uwanjani kuwa tutashinda kwa Kumfunga Algeria...
  20. Five killed, 21 arrested as police widen probe into Kampala explosions

    Police have shot dead five suspects and arrested 21 people as part of an investigation into twin suicide bombings claimed by the Islamic State group that killed four people on Tuesday. Tuesday's explosions were the latest in a string of attacks in the East African country, which has tightened...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…