kampeni mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, vyombo vya habari vinapotumika kwenye matangazo ya vyama fulani, ni njia ya kuathiri demokrasia na uchaguzi huru?

    Wakuu! Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari vimeanza kutangaza kauli mbiu za vyama vya siasa. Hali hii inanitia wasiwasi kuhusu uadilifu na mustakabali wa demokrasia yetu kipindi cha uchaguzi. Swali: Je, hili si mwanzo wa kampeni kabla ya muda wake? Na je, taarifa hizi kwa wapiga kura...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 DC Nyasa aanza kampeni mapema amnadi Mgombea Ubunge, kata kwa kata

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Peres Magiri akizungumza na Wajumbe na baadhi ya WanaCCM kuhusu mchakato wa Ubunge katika Jimbo la Nyasa Mkoani Ruvuma. Amesema walipokea takribani majina ya Watia nia 20 na akiwemo Eng. Stella Manyanya, John Nchimbi, Gerad Komba (Mtoto wa marehemu Captain...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mkoa wa Iringa imepiga marufuku Wanachama wanaoanza kufanya kampeni kabla ya uchaguzi

    Kwani walikuwa awajui kwamba kuna wanachama wao wameanza kampeni? Lakini mbona kama njia zao maana tumeshuhudia baadhi ya viongozi wakubwa nao wakijipigia kampeni mapema! ================ Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa kimepiga marufuku Wanachama wanaoanza kufanya kampeni mapema...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya kukubalika au kutokukubalika?

    Salaam, shalom!! Kwa mara ya kwanza, kuna viongozi wapo madarakani, KAZI waliyopewa kuikamilisha, Bado hawajaimaliza,lakini ghafula wamegeuka na kuanza kujitangaza wazi wazi Kwa nafasi ya VITI walivyovikalia. Hadi sasa, vyama vyote vya upinzani na chama tawala havijafanya mchakato wowote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…