DodomaTZ
Senior Member
- May 20, 2022
- 197
- 233
Amesema walipokea takribani majina ya Watia nia 20 na akiwemo Eng. Stella Manyanya, John Nchimbi, Gerad Komba (Mtoto wa marehemu Captain Komba)…
Hapa akiwaambia nani ambaye anafaa zaidi katika kinyang’anyiro hicho kwa kumtaja kuwa sasa ni muda wa John John Nchimbi na kuwaambia wasitishwe na mtu yeyote na kwamba yeye ameamua kujivisha mabomu.