Baraza La Taifa La Hifadhi Na Usimamizi Wa Mazingira (NEMC) Kupitia Kwa Martha Kawishe Ambaye Ni Kaimu Meneja Mawasiliano Na Uhusiano Kwa Umma Amesema NEMC Inajukumu La Kusimamia Uzingatiaji Wa Sheria Za Mazingira, Kufanya Ukaguzi Na Kuratibu Utekelezaji Wake.
Martha Kawishe Ameeleza Haya...
Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
Kuna bar moja inaitwa Flamingo ipo Salasala DSM katika ya makazi ya watu inapiga mziki mkubwa usiku kucha. Inatuletea usumbufu majirani unakuwa na kelele za bar ujakaa sawa kuna kelele za makanisa ya kiroho katika kuabudu
Naomba Serikali iandae sheria ya sounds proof kwa haya makanisa na kumbi...
Anonymous
Thread
athari zamakelelekampenizanemcdhidiyamakelele
kelele za baa
makeleleya makanisa
Makelele ya makanisa kwenye makazi yanakera na kuathiri watu wengi sehemu za mijini, hasa jiji la Dar es Salaam. Aidha makelele hayo yana athari kiafya, kijamii, na hata kiuchumi; kama ilivyo makelele mengine. Na wakati mwingine yana athari zaidi kutokana na kuendelea muda mrefu, bila kuruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.