kampeni za nemc dhidi ya makelele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mamlaka zinazohusika na kutoa vibali kwenye kumbi za starehe na bar zijitathimini upya

    Kuna bar moja inaitwa Flamingo ipo Salasala DSM katika ya makazi ya watu inapiga mziki mkubwa usiku kucha. Inatuletea usumbufu majirani unakuwa na kelele za bar ujakaa sawa kuna kelele za makanisa ya kiroho katika kuabudu Naomba Serikali iandae sheria ya sounds proof kwa haya makanisa na kumbi...
  2. Makelele ya makanisa kwenye makazi siyo sawa kidini, wala kisheria; yadhibitiwe kama makelele mengine

    Makelele ya makanisa kwenye makazi yanakera na kuathiri watu wengi sehemu za mijini, hasa jiji la Dar es Salaam. Aidha makelele hayo yana athari kiafya, kijamii, na hata kiuchumi; kama ilivyo makelele mengine. Na wakati mwingine yana athari zaidi kutokana na kuendelea muda mrefu, bila kuruhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…