kampeni za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mgombea huyu apewe onyo au Kuchukuliwa hatua kali ikibidi afungiwe kushiriki uchaguzi mkuu 2025 kwa kuanza Kampeni kabla ya muda

    Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume. Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa ya mgombea huyu zimekuwa zikionekana sehemu mbalimbali, Hii pia inaashiria dalili mbaya ya Rushwa ya...
  2. Pre GE2025 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Lupembe: Ubunge sio kujua kusoma na kuandika pekee. Ni lazima ujue Kiingereza na sheria. Kutunga sheria ni kazi ngumu

    Wakuu, Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha kufikiria kuwa ili uweze kuwa Mbunge unapaswa kujua kusoma na kuandika tu kwa kuwa kazi hiyo ya uwakilishi...
  3. Pre GE2025 Rais Samia awakemea walioanza kampeni kabla ya muda, asema kuna ushahidi. Msajili wa vyama haya huyaoni?

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Samia Suluhu Hassan atoa onyo kali kwa watia nia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 walioanza kufanya kampeni za mapema kabla ya muda. Msajili wa vyana anafanya kazi huko? Yeye ni kusubiri wapinzani wakosee step moja tu ndio atoe pua yake kukoromea na...
  4. Pre GE2025 UWT yatoa onyo kwa wana CCM walioanza kufanya kampeni za chini kwa chini kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Wakuu Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilayani Rufiji Pwani imewaonya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM walioanza kutangaza nia na kufanya kampeni za chini kwa chini kama ishara kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa...
  5. LGE2024 Mbunge Ndaisaba na Mbunge Semuguruka wafunga kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kata ya Nyamiaga, Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, kwa kushirikiana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, wamehitimisha kampeni za wagombea nafasi za uongozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji katika Kata ya Nyamiaga, Wilaya ya Ngara. Katika hotuba yake...
  6. LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

    Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
  7. LGE2024 Freeman Mbowe: Tuliwasusia mwaka 2019, kosa hilo haturudii tena. Safari hii tutabanana mpaka tone la mwisho la damu

    Wakuu, Akiwa kwenye kampeni siku ya leo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema CHADEMA haitosusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu kama ilivyosusa mwaka 2019 na kusema pamoja na changamoto za kuenguliwa kwa Wagombea wao bado wataendelea kushiriki Uchaguzi huo. 'Tuliwasusia...
  8. J

    LGE2024 Wajibu wa Wadau wa Uchaguzi wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    1. Jeshi la Polisi 2. Vyama vya Siasa - 3. Wananchi - 4. Msimamizi wa Uchaguzi Chanzo: TAMISEMI 2024
  9. Pre GE2025 Lissu: Kama wanakamata viongozi wa upinzani wakati wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa uchaguzi Mkuu 2025 itakuwaje?

    Wakuu, Lissu asema kitendo cha kiongozi wa upinzani kukamatwa kwa nchi inayojiita ya kidemokrasia ni aibu, akaongeza kama wanafanya hivi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye uchaguzi mkuu 2025 itakuwaje? Lissu ameongeza kuwa kukamatwa kwa Mbowe iwe fundisho wasije kurudia tena...
  10. T

    POTOSHI Lissu amtambulisha mganga wake Jukwaani kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa

    Nimeona video ikiwa na graphics kwamba Lissu amemtambulisha mganga wake jukwaani
  11. LGE2024 Kuwe na utaratibu wa kutoka kazini mapema kipindi cha kampeni za uchaguzi ili tukasikilize sera. Au kama vipi mtuletee wagombea wajinadi maofisini

    Nimekaa, nikawaza: kwa nini kusiwe na utaratibu kwamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu au Serikali za Mitaa, wafanyakazi wa umma na binafsi waruhusiwe kutoka kazini mapema ili wakasikilize sera za wagombea wa maeneo yao? Wafanyabiashara walioko masokoni, madukani, na maeneo mengine yenye...
  12. LGE2024 CCM Mkoa wa Simiyu: Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...
  13. LGE2024 Tabora: Zitto aingia kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji Mnange katika kata ya Uyowa, jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora, Novemba 20, 2024 Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
  14. LGE2024 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zimeanza. Je, wagombea katika eneo lako wanasemaje kuhusu utunzaji wa mazingira?

    Katika maeneo mengi, changamoto ya ukusanyaji wa taka imeendelea kuwa kilio cha wananchi. Magari ya kukusanya taka ama hayafiki kabisa au hufika mara chache sana, huku wakazi wakilazimika kutoa michango kwa huduma ambazo hazitolewi ipasavyo. Hali hii si tu inahatarisha afya za watu bali pia...
  15. LGE2024 Mbalizi: Polisi washindwa kuzuia Uzinduzi wa kampeni za Chadema, Nguvu ya umma yawazidi ubavu

    Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za Mitaa bila mafanikio Kutoboka kwa mbeleko ya Polisi kulisababishwa na uimara wa wananchi kupinga...
  16. Issa Gavu wa CCM awasili Geita kuzindua kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa

    GAVU AWASILI GEITA KUZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka...
  17. LGE2024 Kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa zimeanza, una matarajio gani kwa wagombea? Je, CCM itatoboa ushindi 99.9% kama 2019?

    Wakuu, Kampeni zimeanza rasmi leo Novemba 20, 2024, mambo yatakuwa moto huko mtaani kila chama kujinadi ili wajihakikishie ushindi mnono. Je, yapi matarajio yako kwa wagombea katika uchaguzi huu? Unadhani CCM watatoboa tena ushindi wa 99.9% kama ilivyokuwa 2019? Baada ya enguliwa nyingi kwa...
  18. LGE2024 Mmeziona kanuni za kuendesha kampeni za Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa? Kwanini Mkuu Wa Polisi Wilaya amepewa nguvu kubwa hivi?

    Wakuu, Kama mnavyojua kesho kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaanza kesho. Wakati napitia hizi kanuni za kampeni za Uchaguzi kuna kipengele nimekiona ambacho kama wapinzani kinaweza kutumika vibaya Kulingana na kanuni za kampeni kipengele 27 (1) ni kwamba Mkuu Wa Polisi Wilaya ndio...
  19. LGE2024 Dkt. Nchimbi kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Mwanza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
  20. Pre GE2025 Kampeni za Uchaguzi Mkuu tayari zimeshaanza? Ahadi ya Lukuvi kujengea wananchi mabwawa inatia mashaka na kufikirisha!

    Wakuu, Kwani kampeni tayari zimeshaanza? Hivi karibuni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, ametangaza mpango wa kujenga mabwawa makubwa katika Tarafa ya Isimani ili kuboresha kilimo cha umwagiliaji na kukabiliana na uhaba wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…