kampeni za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Waziri Shaaban Othman ampa kijana wa kundi maalum Tsh. Milioni 1 na kiti mwendo ili aweze kujikimu kimaisha

    Wakuu, Ni mwendo wa kusafisha njia tu sasa hivi ili 2025 mambo yawe marahisi! === Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Shaaban Ali Othman ametoa kiasi cha Tsh Milioni moja (1) kwa kijana wa Kundi maalum ambaye alikuwa na uhitaji na Mheshimiwa Waziri kuweza kumsaidia Kiti...
  2. BigTall

    Pre GE2025 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa zilivyofanyika kwenya mechi ya Simba Vs Yanga

    Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa. Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo...
  3. Removers

    Pre GE2025 TAMISEMI na kampeni za Uchaguzi

    Hii imekaaje , Tamisemi na kampeni ? Ambapo ukizingatia ndio msimamizi wa uchaguzi. Soma Pia: Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  4. Suley2019

    Pre GE2025 Waziri Kassim Majaliwa: Polisi msizuie Wananchi wanaokuja na mabango kwenye mikutano yangu

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero za wananchi, pia amesema hapangiwi ratiba. Katika kufafanua hilo Majaliwa amesema: Nitatembelea...
  5. S

    Pre GE2025 Karibu Watanzania wote wana asili na ushabiki wa Simba au Yanga; basi angalieni ofa za ufadhili wa timu zenu isiwe kampeni ya uchaguzi mkuu 2025!

    Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025, na ghafla tunaanza kusikia ofa za ufadhili wa Simba na Yanga, wakati timu za ligi kuu zipo nyingi. Kwa nini? Tatizo sisi Watanzania huwa tunaghiribiwa kirahisi sana. Tuliwahi kuuza nchi na watu wetu huko nyuma kwa zawadi za shanga na vioo vya kujitazamia...
  6. Cute Wife

    Pre GE2025 Mpina apokelewa na jeshi la akiba Sakasaka, aahidi kupeleka drip 500 na mifuko 100 ya simenti

    Kampeni hazijaanza lakini mambo ni motoo, yaani kila anayepata nafasi ni mwendo wa kujipigia chapuo tuu, kama hakupeleka alivyosema atapeleka jimboni huu ndio muda wa kuviwasilisha! Wacha tuendelee kunywa mtori nyaa tutazikuta chini! Mpina amepokelewa kwa shangwe ya kutosha Sakasaka katika...
  7. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda!

    Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇 Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha ujenzi wa barabara na...
  8. R

    Pre GE2025 Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya kukubalika au kutokukubalika?

    Salaam, shalom!! Kwa mara ya kwanza, kuna viongozi wapo madarakani, KAZI waliyopewa kuikamilisha, Bado hawajaimaliza,lakini ghafula wamegeuka na kuanza kujitangaza wazi wazi Kwa nafasi ya VITI walivyovikalia. Hadi sasa, vyama vyote vya upinzani na chama tawala havijafanya mchakato wowote...
  9. BLACK MOVEMENT

    Pre GE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

    Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu. Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400. Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili...
  10. M

    Pre GE2025 Kama muda wa kampeni bado, je wanachofanya Kinana, Majaliwa na Jokate sio kampeni?

    Kaimu KATIBU MKUU wa CCM Bw. Macha hivi karibuni alipokuwa akihutubia katika Jimbo la UBUNGO alisema kuwa ni marufuku kuanza kampeni za UBUNGE na UDIWANI ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kabla ya Muda wake kufika na akaenda mbali zaidi kuwa Yeyote atakayebainika Jina Lake litakatwa wakati...
  11. Msanii

    Pre GE2025 Nchi ambayo habari kubwa ni za kuwania kugombea nafasi za uchaguzi, ni "Failed State". Aibu ya Tanzania

    Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030. Kiashiria kikubwa cha nchi...
Back
Top Bottom