Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina na ufasaha wanaoandika.
Kwanini Baraza la kiswahili mnashindwa kuweka KAMUSI YA KISWAHILI ONLINE...
Neno Pele limeingizwa katika kamusi ya Michaelis ya kireno.
Neno hilo limetafsiriwa kama ifuatavyo:
"Kitu au mtu ambaye siyo wa kawaida, kitu au mtu ambaye kwa mujibu wa ubora, thamani au ubora wake hawezi kuwa sawa na kitu chochote au mtu yeyote, kama Pele, jina la utani la Edson Arantes do...
Tarehe 30 september kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Tunaotafsiri vitabu tunapata shida sana kwa kukosekana kwa maneno rasmi ya kuelezea maana fulani.
Lakini mtaani utakuta kuna maneno mazuri yanayoelezea jambo hilo vizuri sana. mfano.
1. Neno la kiingereza MEAN/MEANNESS. Halina tafsiri...
Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika.
Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary
By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15...
Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Ndugu Mbowe na wenzake lakini mara nyingi Mawakili wa Serikali wakitaka kupinga hoja za Mawakili wa utetezi utasikia wakisema kuwa hoja hii HAINA MASHIKO.
Sasa nauliza je neno hili ni neno sahihi kwa matumizi yetu ya kila siku na ipo kwenye kamusi ya kiswahili...
"Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana, kila mtu anazusha lake, naomba sana viongozi wa dini mlikemee hili na mengine yote yanayoenda kinyume na maadili na miiko yetu.
uzandiki: hali ya unafiki, udaku, umbeya, uongo.
Wanafiki mama anawaonya acheni unafiki
Wambeya mama...
Zaidi ya watu 100 wamesaini barua kuitaka Kamusi ya Mtandaoni nchini Italia, Treccani kubadilisha kisawe cha neno mwanamke katika kamusi yake.
Kampeni hiyo inalenga kuondoa neno 'puttana' kama kisawe cha neno 'mwanamke' ambalo linatafsiriwa kama 'kahaba' wakidai kuwa linamfanya mwanamke...
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.
Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA)
Blobfish
Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote.
Blobfish Ni samaki wa kawaida anayepatikana kwenye kina kirefu Sana cha bahari kati ya futi 2,000 hadi 4,000.
Presha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.