Hakuna anayeishi kwa ajili yake
“Mungu wangu, mungu wangu mbona umeniacha”, hii ni kauli ya Yesu alipokuwa msalabani anakaribia kufa, na muda mchache baadaye Yesu alikufa, kumbuka kama yasemavyo maandiko, 'Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko".
Mungu sio Mungu wa wafu ni Mungu wa...