Habari zenu waungwana,
Katika ulimwengu wa sasa ni nadra sana kupata rafiki wa kweli ambaye unaweza kumuamini,
Nakumbuka miaka kadhaa nyuma niliwahi kuwa na rafiki, huyu alikuwa ni zaidi ya ndugu, tulielewana sana.
Tulishirikiana kwa kila jambo, Popote alipo nami nilikuwepo, jamaa alikuwa...