Asubuhi hii niko Idodomya. Nilitumwa na daktari wa Hospitali ya rufaa Mbeya kuja kufanya MRI. Alinipa chaguo la kufika Dodoma au Dar es Salaam. Idodomya ni jirani sana kwangu. Ni mwendo wa masaa matatu.
Kinachonihuzunisha sana ni hiki, hivi inakuwaje Hospitali kubwa kama ya Rufaa Mbeya yenye...