kanda

Kanda Shrine (神田明神, Kanda-myōjin, officially 神田神社 Kanda-jinja), is a Shinto shrine located in Chiyoda, Tokyo, Japan. The shrine dates back 1,270 years, but the current structure was rebuilt several times due to fire and earthquakes. It is situated in one of the most expensive estate areas of Tokyo. Kanda Shrine was an important shrine to both the warrior class and citizens of Japan, especially during the Edo period, when shōgun Tokugawa Ieyasu paid his respects at Kanda Shrine. Due in part to the proximity of the Kanda Shrine to Akihabara, the shrine has become a mecca for technophiles who frequent Akihabara.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Pascal Mayala mbona huchambui uamuzi wa Januari Makamba na kampeni yake ya kugawa majiko ya gesi Kanda ya Ziwa

    Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea. Umeaacha wadau wengine humu na Global Tv peke yao Why?
  2. Carlos The Jackal

    Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

    Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia. Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania. Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!! Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa...
  3. Roving Journalist

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaongoza kwa matukio ya ukatili wa wenza

    Tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi. Mikoa iliyotajwa kuathirika zaidi na ukatili ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita wakati iliyotajwa kuwa...
  4. John Haramba

    Sababu ya Pwani, Kanda ya Ziwa kuwa na Wagonjwa Wengi Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Takwimu za Dunia za mwaka 2018 za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha Wanawake zaidi ya 570,000 waligundulika kuwa na Saratani ya Shingo ya Kizazi, Kwa mujibu wa tovuti ya cancer.net ni kuwa kwa mwaka 2020 kulikuwa na Wanawake 604,127 ambayo walikuwa wameathiriwa na ugonjwa huo. Kwa...
  5. M

    Mwaka 2025 ni kimbembe, kama wakurugenzi hawatafanya yao CCM hawatoboi. Kanda ya Kaskazini wana yao pia moyoni,masasi yamelindima

    Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo? Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni kimbembe.
  6. Nyankurungu2020

    Hizi ndio hoja kuu zitazotawala kwa watu wa kanda ya ziwa mwaka 2025. Kubwa kabisa ni "Mungu kuamua ugomvi" na Nape na Membe kufurahia kwa kicheko

    Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka. CCM ina wenyewe hii nayo itatamalaki. Ugumu na ughali wa maisha itagusiwa sana pia. Ufisadi wa wazi na kibabe...
  7. M

    Bashungwa acha kumdanganya mkuu wa nchi, umeona deamenor yake. Kanda ya ziwa wana kitu moyoni

    Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya. Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika kanda ya ziwa alafu unaweka uongo wa kumpamba.
  8. M

    Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

    Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu. Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
  9. Idugunde

    Ukweli mtupu: Uwanja wa ndege Chato utakuwa ni kiunganishi kikubwa kwa eneo la kanda ya Ziwa Magharibi

    Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi. Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza. Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

    Kwema Wakuu! Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya kikatili huko kanda ya ziwa. Haiwezi kuisha siku mbili bila kusikia matukio ya kikatili kutokea...
  11. kaligopelelo

    Kwanini watu wa kanda ya kati na Kanda ziwa Wanamake head lines Kwa matukio ya kipumbavu

    1. Hapo miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 2000 matukio ya vifo vya albino 2. Mauaji holela ya watu huko tarime mara 3. Mauaji ya vikongwe wenye macho mekundu Kwa kisingizio eti ni wachawi shinyanga na mikoa jirani 4. Ukatili wa kijinsia huko,tazama kielelezo hapo chini. 5. Matukio ya ujambazi 6...
  12. Corticopontine

    Nape ajitafakari kama kuna haja ya kuendelea kuwa waziri, kwenda Chato na kwenda kanda ya ziwa

    Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau...
  13. Kijakazi

    Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

    Ni muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar. Watu wa...
  14. sinza pazuri

    Diamond yupo Mwanza leo; watu wote wa jiji la Mwanza wana furaha...

    Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo. Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha. Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
  15. Ushimen

    Tangazo: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando

    Haya vijana, changamkieni fursa.....
  16. Nyankurungu2020

    Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

    Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa. Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa. 👇
  17. Econometrician

    Mfumko wa bei wagonga rekodi mpya katika kanda ya Euro

    Mfumko wa bei umegonga rekodi mpya katika nchi 19 za ukanda unaotumia sarafu ya Euro. Hali hiyo imesababishwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta kufuatia vita nchini Ukraine. Katika mwezi huu wa Aprili, mfumko wa bei umefikia asilimia 7.5 kiwango ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa tangu...
  18. Nyankurungu2020

    Uvuvi haramu umerudi kwa kasi kubwa Kanda ya Ziwa baada ya kifo cha Dkt. Magufuli

    Nilikuwa maeneo ya Nzera jimboni kwa Msukuma uvuvi haramu umetamalaki. Makokoro na nyavu zilizopigwa marufuku maarufu kama Timba ndio zinatumika. Nikaamua kuambaa ambaa mpaka mwambao wa ziwa wilaya Sengerema mwendo ni uleule. Kumbe usimamizi wa sheria za nchi hutegemea na mkuu wa nchi aliepo...
  19. Izzi

    Wiki ya ubunifu Tanzania-Kanda ya Njombe

    Habari wanajukwaa, Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
  20. Nyankurungu2020

    Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

    Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010? Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema. Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa. Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
Back
Top Bottom