Kanda Shrine (神田明神, Kanda-myōjin, officially 神田神社 Kanda-jinja), is a Shinto shrine located in Chiyoda, Tokyo, Japan. The shrine dates back 1,270 years, but the current structure was rebuilt several times due to fire and earthquakes. It is situated in one of the most expensive estate areas of Tokyo. Kanda Shrine was an important shrine to both the warrior class and citizens of Japan, especially during the Edo period, when shōgun Tokugawa Ieyasu paid his respects at Kanda Shrine. Due in part to the proximity of the Kanda Shrine to Akihabara, the shrine has become a mecca for technophiles who frequent Akihabara.
Salam.
Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema .
Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin.
Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq...
Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana.
Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000.
Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo
Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila? Sio poa kabisa.
Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old Moshi tukabadilisha...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.
Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
Kwa mateso wanayoyapata wananchi wa kanda ya ziwa baada ya kifo cha mpendwa wao, ni wazi wananchi wa Geita hawamuelewi Joseph Musukuma anakotaka kuwapeleka.
Hadi sasa wananchi wa Geita vijijini wanatembea kms 120 kutoka katoro kwenda makao makuu ya wilaya ambapo ni Nzera alikohamishia Ofisi...
Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo...
Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito.
Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua...
Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi...
Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara na majirani.
Cha kushangaza ni miaka zaidi ya mitano na sijaona jitihada zozote za serikali...
Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform.
Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
Imekua tabia ya mda mrefu sasa kuwachukulia watu kutoka maeneo ya visiwa vya ziwa Victoria kua ni watu washamba wasio jua chochote sana sana kisiwa cha UKEREWE kinaonekana ni kisiwa cha watu washamba sana ila leo ningependa kutoa orodha ya watu muhimu nchini walio tokea ukerewe
Piusi Msekwa...
TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, ameongoza kikao kazi baina ya TCRA na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati, kilichofanyika Mkoani Tabora, katika ukumbi wa Isike...
Watu wa kanda ya ziwa ni watu waungwana sana..wamejaaliwa tabia nyingi nzurinzuri kama ukarimu na kutokuwa na choyo...tatizo lililoikumba jamii hii ya watu wa kanda ya ziwa ni kutaka kugeuzwa kuwa watu wa ajabu..kiongozi mmoja wa serikali ambae kwa sasa hatunae alitaka kuwabadirisha hawa watu...
Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni.
Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
Habari wadau
Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k
Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha!
Maeneo hayo kuna treka za...
Wavuvi wa Kanda ya Ziwa wamemtuhumu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kwa kitendo chake cha kushindwa kufika maeneo ya wavuvi kuwasikiliza ikiwemo visiwani na badala yake anaishia ziara Mwanza anaishia mjini na kuongea wa Wafanyabiashara wakubwa wa samaki na wenye viwanda huku wavuvi...
Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa.
Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande wa kando kando ya Ziwa Victoria kuliko maeneo mengine nchini.
Mtakumbuka hata Mama Samia alieleza nia ya Serikali kujenga kituo kikubwa Mwanza chenye kutoa matibabu ya Cancer
Sasa najiuliza:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.