Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania
WAKAZI WA DAR...
Mambo yanakwenda kasi sana!
Siku hizi wanawake waliowengi hawabebi vitambaa wala kanga za kujifutia baada ya kufanya mapenzi!
Sielewi wamepatwa na nini!
Mwanamke wa dizaini hii nilikuwa nikikutana naye asipokuwa na kanga, basi Mimi nilikuwa najifutia chupi yake!
Sasa siku hizi hali imekuwa...
Ndugu Wanajamvi,
Nimepata tatizo kuhusiana na Airtel Money siku ya ijumaa, na nipo kijijini. Lakini kila nikipiga huduma kwa wateja namba 100 ili niwaeleze tatizo langu hawapatikani.
Chakujiuliza ni kwamba, inawezekanaje mitandao mkubwa wa mawasiliano wakakosa namba ya simu ya kuwahudumia wateja?
Habarin wakuu,
Nina Uza mashine za incubator kwa atakae kuwa muhitaji.
Mashine zinatoka china pia ukitaka toleo la mwingereza pia utapata.
Kwa size yoyote unayoitaka.pia kwa anaetaka vifaranga vya kuku pia tunaweza kukudelivery popote ulipo.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no zangu ni...
Wadau Mimi naomba kuuliza kuna huu utamaduni naona unazidi kushamili sasa sijui hali ngumu za maisha. Kuna kasumba siku hizi imekuwa kama Fashion wanaume kuvaa Kanga au Kitenge hasa asubuhi nje wakati kupiga mswaki au ata mida mingine tu ya kawaida ukienda kumtembelea mtu badala taulo au msuli...
Wanasiasa mnatuangusha. Tulitegemea hata chama kimoja kijitokeze kugawa bure barakoa kwa nchi nzima Kama ambavyo mmekuwa mkifanya kipindi Cha uchaguzi, ambapo huwa man uwezo wa kugawa tisheti, kofia, kanga na vitu vingine vingi nchi nzima.
Huu ndo wakati wenu tunawaomba mjitokeze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.