Mwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini;
Waziri wa @WizaraMNN Kangi Lugola leo Juni 23, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Polisi Gogoni, Wilaya ya Kipolisi...
Ninawasalimu wanajukwaa!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
Kangi Lugola aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani, alikuwa anaonesha uzalendo wake kwa kuvaa shati lililonakshiwa kwenye mifuko na bendera ya Taifa! Huku akitembea muda wote na kitabu cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwingine alijinasibu uzalendo kwa kuvaa tai yenye rangi za...
Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri.
Je, vigezo gani hayati alivitumia...
Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija.
Kwanza uzoefu unatuonesha viongozi wenye makeke/ makelele wala hawadumu katika nafasi zao maana huwa hawana Ufanisi wowote zaidi...
Tukichukulia tukio moja tu la moto uliotikisa au unaotikisa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro tunapata jibu moja kwa moja kuwa ni vyema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likawa na magari na ndege za kisasa za kuzimia moto.
Tanzania tuna hifadhi nyingi, hivyo lolote linaweza kutokea kwenye hizi hifadhi...
Hatimaye mkongwe Kangi Lugola amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mwibara kwa tiketi ya CCM.
=======
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amejitokeza mapema leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika...
Siku ya leo Rais Magufuli aliitumia kwa kulihutubia Bunge la 11 na kulivunja rasmi, huku wabunge hao akiwaaga wakielekea majimboni mwao, kwenda kwenye mchakato wa kujaribu bahati yao, ili kama watarejea tena kwenye Bunge lijalo la 12 mwakani baada ya uchaguzi Mkuu.
Kama tunavyokumbuka kuwa...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema...
Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli...
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa...
Huu upendeleo unaoendelea nchini si mzuri unakusanya hasira ndani yetu mdogo mdogo. Huyu upelelezi ulishakamilika kwa mujibu wa Takukuru ila kwanini bado anadunda mtaani huku wengine wanasota rumande japo upelelezi haujakamilika.
Nchi ni moja, Bunge ni moja, Serikali ni moja, Jeshi la polisi ni moja inakuwaje watuhumiwa tofauti wenye tuhuma za aina moja wanashughulikiwa kwa mitindo tofauti?
Sheria zetu kuna baadhi ya watu zimewafanya kuwa special? Inakuwaje wengine waendelee kusota lupango huku upelelezi haujakamilika...
Heshima kwenu wakuu,
Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari.
Tutatoa updates kwa kila kinachojiri.
====
UPDATES:
Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
Baadhi ya wadau walikuwa wanajiuliza kwamba kama Waziri wa Mambo ya ndani na Katibu wake wameng'olewa mbona wasaidizi wao hawajaguswa ?
Jibu laweza kupatikana baada ya Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni na Naibu Katibu Mkuu Ramadhan Kailima kutinga TAKUKURU kwa mahojiano .
Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.