BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa kikaangoni bungeni.
Kaboyoka ametoa hoja hiyo wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma, jana tarehe 29 Januari 2020, huku akimtuhumu Lugola kwamba...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa.
Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Kwa Masikitiko Makubwa Kabisa!
Japo Waziri wa Mambo ya Ndani aliamua kujitoa akili na kuonesha Immaturity mbele ya kadamnasi kwa kuongea vitu ambavyo kimsingi alikuwa akijielewa mwenyewe.
Hata hivyo, halikumzuia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amekubali uamuzi wa Rais Magufuli kumuondoa katika nafasi hiyo akisema kuwa Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe
Amesema, “Kwangu mimi hili ni jambo la faraja. Ninyi Waandishi wa Habari na Watanzania mmemsikia Rais hatua alizozichukua...
Nimeshangazwa sana na maneno ya Rais Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Rais Magufuli na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu
sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari
Nimeangalia kwenye tovuti...
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano.
======
UPDATES:
Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na...
Ndani ya kipindi kifupi alichokaa wizara ya mambo ya ndani Lugola aliwadhalilisha baadhi ya wakuu wa idara hadi wakajiuzulu.
Hivi Lugola unakumbuka ulivyo mdhalilisha yule aliekuwa kamishna wa magereza kisa tu kachelewa dakika chache kwenye kikao,,ukamfukuza kama mbwa baba wa watu...
Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.
Ujenzi wa Chato Airport Shs 69 bilioni haukupitishwa na BUNGE
Ununuzi wa Helkopta 13 USD...
Baada ya mbabe kubabuliwa na kutumbuliwa hadharani tena kwa aibu kubwa, nani atavaa mikoba ya Waziri wa Mambo ya Ndani?
Tukumbuke Waziri atateuliwa kwa jicho la uchaguzi mkuu, 2020. Atakuwa mtu mpya kabisa? Au mmoja wa ma naibu waziri atapandishwa cheo? Au kuna mmoja atahamishiwa hapo toka...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu.
Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba..
Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
Kila mtanzania hapendi uhalifu ila nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na kanuni na kufuata misingi ya katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Watuhumiwa walipigwa na kuteswa ndani ya ofisi ya mtendaji wa kata ya Kahama tarehe 26/10/2019. Kila mwananchi aliona.
Mmoja wao alifariki...
Hili jambo mimi linashangaza sana japokuwa mimi nina uelewa mdogo sana wa sheria.
Mfano ibara ya 13(6) ya katiba ya Tanzania inazuia kutoa adhabu au mateso na manyanyaso kwa mtu yoyote yule. Ibara ya 14 ipo wazi kabisa kwamba kila mtu ana haki ya kuishi. Ibara ya 13 (b) inasema hamna mtu...
Mh. Kangi Lugola tunakuomba uunde kikosi kazi ambacho kitazunguka Tanzania nzima ili kubaini askari wanaoonea wananchi na kuwabambikia kesi ili tu wajipatie pesa. Maana limekuwa tatizo ambalo linawanyima raha wananchi.
Hakuna mtu anayependa wahalifu lakini ishu ni watu kupewa makosa ambayo...
SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Kauli hiyo ameitoa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, alipozungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 13 Septemba 2019.
Amesema, ni maelekezo ya Rais John Magufuli kwamba...
Kila kona unayotembelea ndani ya nchi hii, hakuna habari nyingine unayokutana nayo, bali ni malalamiko ya vyama vya upinzani, kufanyiwa hila katika zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuenguliwa wagombea wake kugombea katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24...
Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani. Wewe una dhamana juu ya usalama wa raia na mali zao. Hakuna raia anayependa kutetea watu wanaojihusisha na uhalifu. Ila nchi yetu inatawaliwa na kuongoza kwa misingi ya sheria na haki.
Tarehe 26/10/2019 watuhumiwa wapatao watano walikamatwa na Migambo...
Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema amemuondoa mpangaji ambaye ni Polisi kwenye nyumba yake kwa sababu haoni haja ya kushirikiana nae.
Waziri Kangi Lugola amemuagiza IGP Simon Sirro kumchukulia hatua Mbunge huyo na wengine wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu...
Kila ukiangalia idadi ya Watu ‘ wanaomfolo ‘ ni Kubwa sana na kila Siku inazidi tu Kuongezeka lakini cha Kushangaza kama si Kusikitisha pia ni kwamba karibia 99% ya wale ‘ Wanaomfolo ‘ wanatumia Majina ‘ Feki ‘ huku mengine yakiwa ni ya ajabu ajabu tupu.
Kwanini hawa ‘ wanaomfolo ‘ huyo Mbabe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.