Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija.
Kwanza uzoefu unatuonesha viongozi wenye makeke/ makelele wala hawadumu katika nafasi zao maana huwa hawana Ufanisi wowote zaidi...