Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.
Tangu asubuhi, askari wa Jeshi la Polisi...