VIDEO: FFU watua kibabe kuongeza ulinzi maeneo ya Ubungo-Kibo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.

Tangu asubuhi, askari wa Jeshi la Polisi wamekuwepo katika maeneo yanayozunguka kanisa hilo, wakiwa katika magari ya doria na wengine wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara, wakifuatilia kwa karibu mwenendo wa shughuli zote katika eneo hilo.

Mbona kama hawana ukakamavu
 
Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.

Kuna kanisa jipya lenye hili jina?
 
Haya mambo yanavyoendelea na baadhi ya watu kuendelea kukenua meno wakipata mvinyo mwisho wake ni hatari sana tena sana. Mzaha mzaha tunajua ni nini mwisho wake, Majuto ni mjukuu, usipoziba ufa, na katika hilo kundi la hao askari wamo wakristu.
Mimi binafsi naona aibu.
 
Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.

Tangu asubuhi, askari wa Jeshi la Polisi wamekuwepo katika maeneo yanayozunguka kanisa hilo, wakiwa katika magari ya doria na wengine wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara, wakifuatilia kwa karibu mwenendo wa shughuli zote katika eneo hilo.

Hawana lolote hao
 
Wa Tz ni wanafiki sana , wiki nzima wanajaza comment kwenye page ya mangekimambi huku wanaahidi jumapili wote watajitokeza kwenye kanisa la Gwajima kudai haki leo hajatokea hata mmoja
Wapo sana .tupo hapa
 
Kwa watu ambao hawana siraha na wala hawana uwezo wowote wa kupindua inchi wala kuvunja amani

Jinsi ya kudeal na watu wa aina hiyo ni kuwacha tu

Watapiga makelele then wataenda kulala
 
Wa Tz ni wanafiki sana , wiki nzima wanajaza comment kwenye page ya mangekimambi huku wanaahidi jumapili wote watajitokeza kwenye kanisa la Gwajima kudai haki leo hajatokea hata mmoja
Wanasababisha serikali inatumia mafuta na nguvu kazi bure.
 
Wa Tz ni wanafiki sana , wiki nzima wanajaza comment kwenye page ya mangekimambi huku wanaahidi jumapili wote watajitokeza kwenye kanisa la Gwajima kudai haki leo hajatokea hata mmoja
Kunguru
 
😄

Ova
 
Back
Top Bottom