VIDEO: FFU watua kibabe kuongeza ulinzi maeneo ya Ubungo-Kibo

The ants go marching one by one, hurrah, hurrah

The ants go marching one by one,
The little one stops to suck his thumb
And they all go marching down to the ground. To get out of the rain, BOOM! BOOM! BOOM! 🎶🎵🎼
 
Namshukuru sana babu kunikata kabisa nisije kusomea kazi ya Upolice.
Mababu wengi wa lake zone mwanza, tabora , shinyanga walikataza watoto wao wasifanye izo kazi WAKIZI ITA KAZI YA ""KOLOKOLONI""

SISI PIA BABU ALIKATAA KUNA WALIO ENDA ILA MWISHO WAO NI MBAYA MNOOO.
 
Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.

Tangu asubuhi, askari wa Jeshi la Polisi wamekuwepo katika maeneo yanayozunguka kanisa hilo, wakiwa katika magari ya doria na wengine wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara, wakifuatilia kwa karibu mwenendo wa shughuli zote katika eneo hilo.

Tanzania yangu inapotea kwa sababu ya akina Mwamposa.
 
Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.
Hawa si wameanza juzi tu? Wana shida gani tena?
 
Hivi utofauti wa hili KKAM na KKKT ni upi?
Maana ndiyo mara ya kwanza nalisikia baada ya kuibuka kwa Tafrani ya Wafuasi wa Gwajima na Poli-CCM
KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri TTanzania) ni kanisa lilionzishwa na Martin Luther baada ya kujitenga na RC
KKAM hawa ni wale maslahi mbele, ni kama wale wa kwenda Ulaya bila Visa wala passport, wao walijiengua toka KKKT baada ya kushindwana kwenye dividend madhabahuni
 
Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.

Tangu asubuhi, askari wa Jeshi la Polisi wamekuwepo katika maeneo yanayozunguka kanisa hilo, wakiwa katika magari ya doria na wengine wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara, wakifuatilia kwa karibu mwenendo wa shughuli zote katika eneo hilo.

Huwa, wanajiona kama navy seal vile, kumbe ni majinga tu, kitu pekee kinachowapa faraja ni kuona watu wanawaahangaa, na Imani Yao kuwa wanaogopwa Sana na, raia,nje ya mavazi Yao na magari ni kama mapaka yalionyeshewa mvua
 
Wa Tz ni wanafiki sana , wiki nzima wanajaza comment kwenye page ya mangekimambi huku wanaahidi jumapili wote watajitokeza kwenye kanisa la Gwajima kudai haki leo hajatokea hata mmoja
Maandamano yanakuja, hiyo siku wataamka asubuhi wanakuta watu 2,000 wamefunga barabara Chalinze, kabla hawajakaa sawa wanaambiwa Tunduma kuna wati 1600, Kyela wako 800, Namanga wako 3,000 na kule Rolya wako 2,500.
 
That's utopia!
 
Hamna kitu hapo
 
Unaota ukiwa wapi?
 
Ndoto yako inatisha sana
 
Back
Top Bottom