Wakuu Salaam? Jana jumapili asubuhi mheshimu waziri mkuu komredi Mwigulu Nchemba, aliabudu katika kanisa la TAG kiomboi linaloongozwa na mchungaji Yona Suleiman. Baada ya mahubiri alipewa nafasi ya kuhutubia ambapo pamoja na kupiga siasa zake,alizungumzia ujenzi wa kanisa jipya linalojengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.