The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.
Wakuu kwema,
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea jumuiya hiyo kufutwa na BAKWATA kuzaliwa
Napenda kuuliza kuwa kama aliwahi kuwa na mgogoro na...
Polisi katika Kaunti ya #Kilifi wamemkamata Paul Makenzie Nthenge wa Kanisa la Good News International baada ya vifo vya Waumini 4 na kuwaokoa wengine 11 wakiwa mahututi msituni ambapo walidaiwa kudanganywa na kufunga hadi kufa na Mchungaji huyo.
Nthenge alianza kufuatiliwa mwishoni mwa Mwezi...
Kesi ya Epidius Edward (22), mkazi wa kata ya kalangalala mkoani Geita, mshtakiwa wa makosa mawili la kuingia na kuvunia kanisa pamoia na kuharibu mali za Kanisa katoliki mnamo februari 26, imehairishwa mpaka 25 April baada ya mshtakiwa kukana makosa hayo.
Chanzo: EATV
Zaidi, soma: Kanisa Kuu...
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
Habari za muda huu Wana JF
Kuna kipindi nilikuwa Arusha baada ya mihangaiko ya maisha Kuna siku moja, nilikuwa matembezi ili niujue mji wa Arusha vzuri ilikuwa Mara ya Kwanza kufika.
Wakati nipo kwenye mizunguko nilipita mitaa flani siikumbuki vizuri jina lake.kuna kanisa la walokole mchungaji...
Serikali imesitisha huduma za Spirit Word Ministry inayoongozwa na Askofu Dk Ceasar Masisi yenye makao makuu yake Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salam.
Taarifa iliyotolewa jana Machi 12 na uongozi wa Sprit Word Ministry kwenye mtandao wa mchungaji huyo, imeeleza kuwa wamepokea maelekezo ya...
Ndiyo hivyo wakuu, kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa
---
====
Mkutano wa Sinodi - ambao unalenga katika mageuzi ya Kanisa - uliidhinisha hati huko Frankfurt siku ya Ijumaa ili kuruhusu wapenzi wa jinsia moja wapewe baraka zao na Kanisa...
Kijana Elpidius Edward (22), mkazi wa Mtaa wa Katundu Wilaya ya Geita anayedaiwa kuvamia na kufanya uharibifu katika Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita amefikishwa mahakamani akikabiliwa na makosa mawili ya kuharibu mali.
Mshtakiwa huyo aliyefikishwa mahakamani jana Jumatatu Machi...
Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi?
Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande.
Kadhia hii imemkuta mchunga...
Migogoro ktk kanisa hili imeota mizizi na inakuwa sehemu ya utamaduni wa kanisa hili.
Ukiingia kwenye mitandao ukatfuta historia na taarifa za migogoro utakutana na lundo la migogoro iliyowahi kuripotiwa. Nitawakumbusha michache.
1. Wakati wa mgawanyo wa Dayosisi ya Pare na Mwanga maaskofu...
Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi.
Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo.
Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati...
Habari wakuu,
Samahani kwa kuchelewesha habari, kwasababu za kiusalama.
Lakini Taarifa hii iende kwa askofu mkuu wa Jimbo la Geita na mamlaka zingine za serikali. Nyuma ya eneo la kanisa jimboni ipo njia ya mkato kwa wenyeji wa Geita kukatiza kutokea Nyankumbu mbugani kutokea Geita mjini.
Hio...
Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.
Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani...
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha...
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali
Onyema amerekodi video akilitaka Kanisa la Dunamis International kutimiza kile anachokitaka kwa kuwa alifanya...
Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama.
Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.