"Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka.
Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi sadaka ndio kichaka cha kwanza na haraka sana kinatumika. Na jambo hili lipo kwenye madhehebu yote ya...
Najiuliza swali kubwa sana kwa aina ya baadhi ya waumini wa pande zote mbili wanavyochuliana kimoyo moyo na kuchekeana kinafiki mdomoni je ni sahihi kwa Kiongozi wa nchi kuchangisha Pesa ya Makafiri ikajenge msikiti ?
https://youtu.be/dgtbhL0K8gA?si=qEayIB2FhFQcMpjs
Wadau hamjamboni nyote?
Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia
Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote.
Wengine wanaenda kwa waganga.
Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa
Uponyaji ni nini
Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo.
Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima...
Kanisa Lina Aina ya watu ambao hawako katika MISHENI Sawa. Kuna Baadhi ya wahusika uwepo wao Kanisani ni kukamilisha ajenda zao ZINGINE...
Katika Historia ya Makanisa Maandiko Matakatifu (Ufunuo 3:14-15) yanaeleza kuwa tupo Kanisa la mwisho ambalo ni Kanisa la Laodakia na tabia za Kanisa la...
Mungu Baba mwenye enzi yote Muumba wa mbingu na nchi asante baba kwa kutuvusha salama sisi CHADEMA kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Mara tu baada ya ushindi wa Lissu nikajiwa na wazo la kurudi Kilingeni nikafanye kafara lakini nikakumbuka kumbe nilishatoka huko 💪🏿🙏🏿
Bila kusema uongo mimi ni...
Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
Mchungaji James Ng’ang’a, mwanzilishi wa Neno Evangelism Centre, ameendelea kuzua mjadala kwa hatua yake ya hivi karibuni ambayo imewashangaza wengi.
Katika ibada ya hivi karibuni, mhubiri huyo wa injili aliamua kuuza mikate na mandazi kwa waumini wake kwa bei ya juu isiyo ya kawaida.
Mkate...
Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli"
Mengine nawaachia
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation...
Hello!
Katika kazi ya utumishi wa Mungu kuna watumishi wa aina 3, watumishi wa kweli (Watumishi wa Mungu aliye hai), watumishi fake na watumishi wa uongo.
Kila kundi lina makundi mengine madogo madogo lakini nitaeleza kwa ufupi tu.
1. Watumishi wa kweli
Hawa ni watu wa Mungu ndani ya kanisa...
Nimeota nimeingia katika Kanisa,wapo watu wengi mule ndani wanaabudu katika misa. Nikasimama pembeni, halafu akatokea mtu akasema,"We njoo hapa, familia yako iko huku.". Nikamfuata yule mtu mpaka katikati ya Kanisa, katikati ya waumini wengi, familia yangu walikuwepo pale standing in worship and...
Mahakama ya Ubelgiji imeiamuru serikali ya nchi hiyo kuwalipa fidia wanawake watano waliochukuliwa kwa lazima kutoka katika familia zao katika enzi ya ukoloni wa Ubelgiji nchini DR Congo.
Wanawake hao, ambao sasa wana umri wa miaka 70, walichukuliwa kutoka kwa mama zao walipokuwa watoto wadogo...
Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄
Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe.
Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada.
Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.