Wakuu,
Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha Padre akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu hatua ya mchungaji kumwadhibu msaidizi wake hadharani kwa kushindwa kuielekezea vizuri Mic kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapendwa naleta bandiko hili Kwa njia ya swali nikiwa na umakini mkubwa.
Nimezingatia utafiti usotia shaka wala kuegemea upande wowote na ulio na ushahidi wa kutosha
Kwanini ukiitaja siku ya Jumapili mbele ya Wasabato huwa wanakereka na huishia kuitoa thamani siku...
Pia soma:
~ Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2
~ Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa katika ziara ya kikazi, alitembelea kanisa la Peramiho ambapo aliomba nafasi ya kuingia kanisani. Katika tukio hilo, alishuhudia wafuasi wa dini wakifanya maombi na kutoa shukrani kwa ajili ya amani na umoja nchini.
Pia, Soma: Waziri Jenista Mhagama agalagala...
Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ?
Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa...
Maneno ya mwisho niliyomwambia ni kuwa, "Huwezi kupata mwanaume mwingine kama mimi, ondoka, lakini najua utarudi, mjinga wewe!" Miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu wa sasa. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye tuliishi naye kama mke na mume...
Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5 ntachukua karanga za mia sichukui chenji, mtoto anaeuza ndizi ntampa elf 2 naweza nisichukue ndizi...
Amefunguka Emma....
"Nataka kuoa mwaka huu, nitaoa mwanamke ambaye ni mhudumu wa Bar maana hawa wadada wanakuwaga hawana shida sana ukimwoa ukamweka ndani anatulia na maisha yake yote analeta watoto.. Hawa wa kanisani siwataki kabisa ni wakengeufu sana."
Tuliowahi kuumizwa na mademu...
Mrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A
Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B
Kati ya hawa wawili wote siwaelewi,
Mwanzo Mpenzi...
Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni .
Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili
USSR
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile...
Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja.
Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku
Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
Wakuu natumai mko salama.
Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara bila majibu.
~Hivi hizi sadaka tunazochangia kila jumapili na wakati mwingine katikati ya juma zinaendaga wapi? I mean zinamsaidia nani hasahasa,kwa sababu kama zinasaidia wahitaji, nani mwenye ushuhuda ambaye ameona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.