Habari nauza vifa vya kutngeezea mishumaa ya kanisani. Mishumaa 18 kwa saa. Kila dk 20 mishumaa 6 bei sh 120,000 nipo Dar 0758308193. Unaweza uza hata kwa watu kutumia nyumbani
Nimeona kwenye mitandao jinsi mchungaji kenan mwasomola alivyokuwa amewa kwa hisia kali na hasiri akikosoa uimbaji wa siku hizi makanisani kwamba sio wa roho mtakatifu. Amekosoa jinsi makanisa kutumia mitindo ya nyimbo na muziki wa kidunia kama vile Rap/R&B, Jazz, Reggae, Singeli nk na kuimba...
Mpango wa Mungu ni kila mwanadamu aifikilie toba na kuuacha uovu. Swali la kujiuliza ni sehemu gani waovu wanapaswa kukaa Ili kuweza kuifikia toba?
Hakuna mahali pengine sahihi kwa waovu kama kwenye mahekalu kwa sababu maeneo mengine karibu yote hayabebi kusudi la kumfanya mtu aache uovu. Hivyo...
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashilika watu wawili akiwemo Emanuel Paul Karata (35) mchungaji wa kanisa la PENTEKOSTE GOSPEL MISSION lililopo Kibaha kwa ulaghai wa kutaka kupata waumini kwa kusingizia mchawi amedondoka kwenye maombi ya mkesha wake na waumini.
Wamewashikilia kwa mahojiano...
Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake.
Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo.
Leo hii...
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni jambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono...
Kesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika.
Kupalizwa mbinguni bikira maria siyo jambo dogo huku pembeni kuna waraka wa DPW.
Ebana eee kesho mapemaaaa misa ya kwanza kabisa afu seat ya mbele karibu na baba paroko.
Nasoma post nyingi hapa zimeondoka kwenye hoja na kuhamia kwenye Udini; mfano kamata kamata inayoendelea na idadi ya wapinga hoja ya bandari imeleta picha kwamba watu dini moja kwa pamoja bila kujali vyama wanakubaliana na kinachoendelea wakiwemo hata wapinzani.
Upande wa pili hali inaonyesha...
skia hii, jana nilikuwa napewa stori na dada mmoja anakaribiwa kuolewa
nikamwuliza amempataje mpenzi wake
akanijibu
Dada: Nimempata kwenye morning and evening glory nilikuwa naenda kila siku kanisani, kumbe huyo kaka akaniona akanipenda akawa anapima frequency ya kuja kanisani kama na beep...
Wapenzi hao wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga.
Tukio limewahusisha Kijana muumini wa Kikatoliki mwenye miaka 23 ambaye ni mume wa mtu na Binti wa Dhehebu...
Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo..
Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia...
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
Nimekulia kwenye familia ya KKIKRISTO made hebu ya Kilutheli, na Sunday School na Kipaimara nilikuwa mwanafunzi bora kabisa nikiwa nimekariri vifungu vingi sana vya Biblia.
Baada ya kuhitimu kidato cha sita, nilipata daraja la tatu, nikaona niingie mazima kwenye biashara maana hamna tena namna...
Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa.
Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya eneo hilo yanahitaji uungwaji mkono kutoka kwa viongozi na serikali ya kaunti.
"Maafisa wakuu...
"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.
Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake...
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
Katika pitapita zangu mitandaoni, nimekutana na makala hii inayohusu mahojiano aliyoyafanya huyu jamaa anaitwa Frank ambaye anasema ni mtoto wa Mchungaji Zachary Kakobe, nimeona si vibaya nikishea hapa inawezekana kama ni kweli basi ujumbe umfikie kwa urahisi mtumishi kwa kuwa najua JF ni...
Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.
Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.