Polisi nchini Uganda wanachunguza tukio la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 59, Rosette Najuma ambaye ameaga dunia siku ya Jumatano Februari 8 wakati akifanyiwa maombiKanisa la Christian Life lililopo Makerere.
Kwa mujibu wa Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Kampala, Luke Owoyesigyire amesema...
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI:
Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli
Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda...
Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.
NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye Madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana lililopo Mtaa wa Matema Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe huku sababu zikiwa bado hazijajulikana.
Katibu wa Kanisa...
SOMO LA KEMIA KANISANI
WIVU + TAMAA X UJINGA WA MAMLAKA = burudani mitandaoni.
1. Kuna watu wamepigwa na kuumizwa, wasizuiwe kulia.
2. Kuna watu hawajui chanzo, wasizuiwe kuhoji hoji.
3. Kuna watu wanaujua ukweli wote; mitandao si mahali pa kuusemea.
4. Kuna watu wamekosea njia; wametibu...
Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini.
Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na...
Mambo vipi wakuu,
Nimemaliza chuo mwaka jana, I am 24. nipo nakaa hapa nyumbani ila kuna tatizo la kiimani.
Mom analazimisha kila jumapili niende kanisani.
Kiuhalisia mimi saivi sina imani kabisa na kanisa au maswala ya Mungu naona kama ni utapeli na mambo ambayo binadamu walitengeneza tu...
Siyo kwa ubaya ndugu zangu, misumari ni mingi sana, ukiweka japo kabiashara kako sehemu ili kakusaidie wewe na familia yako ikianza tu kuchanua kuna viherere wanajifanya kuizima.
Sasa nikasema dawa na mimi ni kutembea, simlogi mtu ila naweka mambo sawa, nailinda biashara yangu. Kwani kuna ubaya...
Hata kama ni tsh 50 sadaka inanguvu kuliko maneno.
Kutoa sadaka ni kitendo, maombezi ni maneno.
Imani bila matendo imekufa
Faida za kutoa sadaka.
1: Utapokea. Maana vya Mungu tunavipata Kwa kutoa.
2: Ulinzi Kwa familia hasa watoto. Ayubu alitolea watoto Sadaka. Hata walipokufa, Mungu alimpa...
Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote.
Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
Naomba kujua kwa mliowahi kukaa ulaya huko, je ikifika wakati wa ubatizo, wazungu pia huchagua majina ya kubatizwa kwa watoto wao kama tunavyofanya huku Afrika?
Huku Afrika ni kawaida kukuta mtu ana majina mawili, moja la nyumbani lingine la ubatizo na la ubatizo lazima liwe la kizungu ama...
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma.
Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu...
WATU WANAENDA KANISANI WAMEVAA VITU VYA AJABU UNATEGEMEA NINI?
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.
Angalizo, lugha itakayotumika inaweza kuwa Kali. Hivyo Kama sio mtu upendaye lugha Kali na Tata nakushauri uishie hapahapa. Kukaidi ni kiashiria utaendana na andiko hili na utaweza kukabiliana na...
Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo.
Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...
IFIKE MAHALA WANAKWAYA NA WATOA HUDUMA KANISANI WALIPWE MISHAHARA KWA MWEZI!
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Hii ni mara ya tatu nazungumzia Jambo hili. Mara ya Kwanza nililizungumza mwaka 2012, mara ya pili 2020, Kutokana na Unyeti wa Jambo lenyewe.
Mambo ya Huduma za...
Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi.
Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani.
Kanisa nilikuwa...
Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na mixture ya wanawake wote mim kitu ambacho huw najiuliza nyinyi wanawake ambao hamna wachumba Wala...
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.