kanumba

Steven Charles Kanumba (8 January 1984 – 7 April 2012) was a Tanzanian actor and director. Kanumba died in 2012 at the age of 28, for which actress Elizabeth Michael was convicted of involuntary manslaughter and sentenced two years in prison in November 2017. Over 30,000 people were estimated to have attended his funeral. He was described as "Tanzania's most popular film star", and appeared in Nollywood films.

View More On Wikipedia.org
  1. Filamu ya Kanumba "Riziki" iliyotoka 2005 sasa ipo YouTube kama hukuwahi kuitazama kaitazame

    kanumba akiwa na 21yr's alicheza filamu hii, watu wengi sana hawajawahi kuiona ila sasa ipo YouTube nenda kaitazame.
  2. Ni kweli umaarufu wa marehemu Kanumba ulikuwa ni zaidi ya Diamond Platnumz?

    Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
  3. Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
  4. Mwenye ile clip ya kanumba: kamshahara kangu ni kadogo mno

    Shalom, Naomba Mwenye ile clip ya kanumba: kamshahara kangu ni kadogo mno siwezi kumhudumia mpenzi wangu anitumie
  5. Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

    DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012 Mahakama Kuu ya Tanzania ilimhukumu kifungo cha miaka miwili jela, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya...
  6. Kwanini filamu za bongo hazina mvuto kama miaka ya nyuma wakati wa Kanumba?

    Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD: Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio utasikia swala hili na kila mmoja analizungumzia ila chanzo haswa hakijulikani. Wakuu ni kwann...
  7. W

    Miaka 12 ya Bongo Movie bila uwepo wa Steven Kanumba

    Steven Charles Kanumba alizaliwa 8 Januari, 1984. Alikuwa miongoni mwa waigizaji maarufu nchini Tanzania. Aliingiza katika tasnia ya uigizaji miaka ya 90 na na kujizoelea umaarufu mwaka 2002 baada ya kujiunga na kundi la Kaole Sanaa Group. Aliwahi kupewa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume nchini...
  8. Diamond Platnumz (Simba) anaweza kuziba pengo la Kanumba kwenye tasinia ya uigizaji?

    Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi. Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli? Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza kama movie fulani hivi. Angalia wimbo wake wa Zuena na wimbo wa Yatapita. Wakuu comment ziwe fupifupi
  9. Mch. Katekela: Kanumba hakufa

    Kanumba hakufa? Hata sielewi! Daktari alithibitisha kuwa alikufa. Mch. Katekela kasema hakufa. Tumwamini yupi? Kisheria hili limekaaje? Sikiliza kuanzia dakika ya 2:15
  10. Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

    Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao. Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
  11. Kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee

    Habari zenu wana JF, Tukirudi kipnd cha nyuma miaka ya 2010 soko la bongo muv lilikuwa lilikuw juu sana kuliko hata muziki lkn baada ya Kanumba kufariki soko kimeyumba mpaka sasa Japo kidogo, Ramata anajitahidi kurudisha ule umakini wa zamani kupitia tamthilia kama 'jua kali'. Lakini kiukweli...
  12. Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  13. Diamond Platnumz anaweza kuziba pengo la Kanumba akiwa muigizaji pia

    Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana. Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye filamu ya huu wimbo wa Zuwena na amini anaweza pia kuamsha bongo movie na pia anaweza kupata pesa...
  14. Marehemu Kanumba uliondoka na Bongo Movie yako japo ndiyo ulianza kuichangamsha

    Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao. Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani. Huku umetuachia wajinga wengi mpaka wengine wamekuwa wanyekiti wa misiba na mbwembwe.wapo wachache wenye kutimiza...
  15. Ten years now, tasnia ya movie imekosa mbadala wa Kanumba nchini

    Vipi wakuu, kwema huko mitaani. Ebwana inasikitisha kuona nchi kubwa kama TZ, iliyosheheni watu wenye vipaji mbali mbali vya uigizaji, anakosekana mtu wa kuziba pengo aliloacha hayati Kanumba. Mwanzo mwanzo Rey alikuja na mikwara ya kujifanya kuwa yeye ndo mwenye uwezo wa kuliziba na kulifunga...
  16. Kanumba hayupo filamu zipo, Diamond akifa muziki utaendelea

    Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki. Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...
  17. Kama Kanumba angekua bado hai, unahisi Bongo Movie ingekua wapi?

    The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni. Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
  18. Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

    Wana JF Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote. Msindani wake...
  19. Serikali: Familia ya Majuto na Kanumba wameshalipwa fedha walizokuwa wanadai kutokana na kazi zao walipokuwa hai

    Serikali imesema kuwa imeokoa na kurejesha mamilioni ya fedha kwa familia za marehemu Mzee Majuto pamoja na familia ya marehemu Steven Kanumba kupitia mikataba ya kazi walioingia wakiwa hai. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi...
  20. TANZIA: Baba wa Kanumba afariki

    Mwanae janael kanumba kathibisha hilo, kafariki mkoani Shinyanga alikokuwa anapatiwa matibabu === Dar es Saalam. Baba wa marehemu Steven Kanumba amefariki dunia leo Jumapili ya March 8,2020 akipata matibabu katika Hospitali ya rufaa mkoa wa shinyanga. Taarifa za kufariki kwake zimethibitishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…